Ukimya wa Lady Jaydee

Ukimya wa Lady Jaydee

SIAMINI KUWA JIDE KAFULIA BOTH KIUCHUMI NA KISANII...ILA NAAMINI KUWA JIDE KAPATA MSHAURI MZURI ALIYEMSHAURI APUMZIKE NA AJITAFAKARI UPYA MAANA AMEPITIA KWENYE MISUKOSUKO MINGI NA HASA ILE INAYOUMIZA HISIA ZA NDANI KABISA.

NI STARTEGY NZURI SANA KWAKE NA KWA AFYA YA AJIRA YAKE YA MUZIKI NA BIASHARA ZINGINE ZINAZOMZUNGUKA....NAAMINI AKIWA MAKINI UJIO WAKE MPYA NA BENDI YAKE MPYA NA BIASHARA ZAKE MPYA HASA KIPINDI CHAKE KILE CHA TV VITAUZA SANAAA...

NA HAPO NDIO ITAKUWA TURNING POINT YA MAISHA YAKE ...KIMSINGI UJIO WAKE MPYA NDIO PENALT YAKE YA MWISHO YA MAISHA YAKE. AKIKOSEA TUU TIMU IMETOLEEWA NA KOMBE KALIKOSA...ILA AKIPIGA VIZURI AKAPATA PENALT YAKE NAMUONA AKIWA BILIONEA WA KIKE WA KWANZA AFRICA MASHARIKI NA KATI KUPITIA BIASHARA YA MUZIKI.

KIMYA KIKUU KINA MSHINDO MKUU...JIDE TUNASUBIRIA MSHINDO WAKO MKUU ILA ANGALIA USIKOSEE.
 
Mkuu Sugu ni kama Prof Jay tu
Wameamua kutafuta njia zingine kutoka baada ya kubaniwa kwenye muziki
Hujui ulisemalo we.... Wanaoweza kuteswa na ruge ni hao wtt wanaosubiriaga Fiesta..... Jayde akiamua kufanya shows atakusanya mpunga Sawa na wa Fiesta maana jina Lake ni brand
 
Msela aka Kaputen life lnaendelea kama kawaida...kazi kwenu
 

Attachments

  • DADNER67.JPG
    DADNER67.JPG
    40.3 KB · Views: 35
Mwanaume analia ndani ya moyo..halii ovyo maisha lazima yasonge..jide si anaendekezaga mahasira wacha stress zimjue kwa jina lake..
Kanyaga twendeee kaputeiiiiini!
Umeona eehh,Alafu sisi watanzania tuna ile tabia mkeachana kazi kuombeana mabalaa na mabaya yamfike mwenzio na Mungu nae hayo unayomuombea mwenzio yanakulidia ww mwenyewe Shenzi taippuuu...
 
Umeona eehh,Alafu sisi watanzania tuna ile tabia mkeachana kazi kuombeana mabalaa na mabaya yamfike mwenzio na Mungu nae hayo unayomuombea mwenzio yanakulidia ww mwenyewe Shenzi taippuuu...
Waacha bidada aisome...na vile wanaume hatuzeeki kaputeiin anakimbiza kk kama kawaider..binti machozi imekula kwake aendeshe envogue na murano yake!
 
Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.

msamehe, binadamu tunaumia yanapotukuta na ustahamilivu unategemea sana support unayoipata na ushauri unaoupokea wakati tatizo linapotokea huwa ni kipindi kigumu sana kwa binadamu yeyote ...........ndio hapo husikika kauli za nawachukia wanaume au wanawake wote ..........
 
Back
Top Bottom