Kweli maisha yanatoka mbali jamani loohAisee, ndo picha hii kuiona leo, duuuu.
Harusi ilifungiwa baharini, tena ilikuwa ni marufuku kupiga picha, kweli wabongo huwawezi.Kweli maisha yanatoka mbali jamani looh
Hujui ulisemalo we.... Wanaoweza kuteswa na ruge ni hao wtt wanaosubiriaga Fiesta..... Jayde akiamua kufanya shows atakusanya mpunga Sawa na wa Fiesta maana jina Lake ni brandMkuu Sugu ni kama Prof Jay tu
Wameamua kutafuta njia zingine kutoka baada ya kubaniwa kwenye muziki
Na wao wakiiona sijui wanajisikiajeAisee, ndo picha hii kuiona leo, duuuu.
Mapenzi yanauma wewe!!Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.
Mwanaume analia ndani ya moyo..halii ovyo maisha lazima yasonge..jide si anaendekezaga mahasira wacha stress zimjue kwa jina lake..Msela aka Kaputen life lnaendelea kama kawaida...kazi kwenu
Duh hiyo kali ndo naskia kwakoHarusi ilifungiwa baharini, tena ilikuwa ni marufuku kupiga picha, kweli wabongo huwawezi.
Umeona eehh,Alafu sisi watanzania tuna ile tabia mkeachana kazi kuombeana mabalaa na mabaya yamfike mwenzio na Mungu nae hayo unayomuombea mwenzio yanakulidia ww mwenyewe Shenzi taippuuu...Mwanaume analia ndani ya moyo..halii ovyo maisha lazima yasonge..jide si anaendekezaga mahasira wacha stress zimjue kwa jina lake..
Kanyaga twendeee kaputeiiiiini!
Waacha bidada aisome...na vile wanaume hatuzeeki kaputeiin anakimbiza kk kama kawaider..binti machozi imekula kwake aendeshe envogue na murano yake!Umeona eehh,Alafu sisi watanzania tuna ile tabia mkeachana kazi kuombeana mabalaa na mabaya yamfike mwenzio na Mungu nae hayo unayomuombea mwenzio yanakulidia ww mwenyewe Shenzi taippuuu...
No something has to be done in music industryUkigombana na ruge uwez baki salama....anaziba mianya yote ya entertainments industry....
Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.