Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
 
Lissu anajipanga na anakuja na mazito muda si mrefu.
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO

Nimejiuliza swali kama hilo. Kwamba hayupo nchini au imekaaje

Sasa kila mwanachadema akiongea si inakuwa taasisi iliyokosa utaratibu? Mwenyekiti taifa na mwenyekiti kanda ya kaskazini walishaongea inatosha. Pia think tank ya CHADEMA ndugu Mdude Nyagali alishaongelea hilo suala.

It is always CHADEMA,Mbowe or Lissu

Tukianza na familia, kila jambo ama tukio zito linapo tokea lazima pawepo na msemaji mmoja na sio kila mtu anatakiwa aongee.

CHADEMA imepwaya

Kwa namna Mbowe alivyoongea kuhusu mauaji hayo, na Mnyika...inatosha kabisa.
 
Sasa kila mwanachadema akiongea si inakuwa taasisi iliyokosa utaratibu? Mwenyekiti taifa na mwenyekiti kanda ya kaskazini walishaongea inatosha. Pia think tank ya CHADEMA ndugu Mdude Nyagali alishaongelea hilo suala.
Mimi naona sawa kwa utekaji na kutwaliwa, wasiojulikana hawatabiliki wanaweza kufanya lao jambo wakati wowote
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO

Mbona hujaulizia Nchimbi au vigogo wengine wa serikali au bunge?

Au wewe umewasikia?
 
Back
Top Bottom