Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Nisielewe nini sasa, yy ni makam mwenyekiti wa chama hajaomboleza msiba yupo kimya lazima tuhoji hii ni ishara ya migogoro ndani ya chadema
Kukomalia jambo lisilo na tija huku watu waikikupa ufafanuzi ni dalili za mtu aliyebobea katika upumbavu.
Vitabu vya dini vinamtafsiri mpumbavu kama binadamu ambaye hata umkoboe na mpunga pamoja wenyewe utatakata yeye atabaki alivyo. Sasa ungekaa kimya ili upumbavu usi OTE mizizi
 
eptember Simba mtukutu Ataongea tu, matter of time
Wanasahau kwamba tarehe 7 September ndio kumbukumbu ya Lissu kumiminiwa mvua ya risasi. Huwezi kutarajia Lissu akawa sawa kwenye hii tarehe na yawezekana chama kilimpa ruhusa apumzike so nakubaliana nawe ataibuka tu na statement yake hapo baadae na huwa anatikisa kwelikweli.
 
Hata yeye Lissu, tarehe 7'Septemba, ni siku ya kumbukumbu mbaya sana!
Na mara nyingi akisema anaishia kuzodolewa mara dereva Yuko wapi mara hawaongei na mgonjwa 😔. Nchi hii kupitia CCM kila Aina ya uhalifu tumeuona. Yule mama aliefanyiwa ukatili Kule Dodoma tayari kesho yake watuhumiwa watatu wameshakamatwa wanahojiwa WA huyu Kiongozi WA CDM sijui watakuja na drama ipi?😔
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Mtu akiwa analia kwa uchungu huku anaongea utamuelewa kweli?Kwa nini usisubiri anyamaze ndiyo umuhoji?
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Huyo yupo tayari kitu kimoja na mama chadema Bado kutoka mguu tuu ila sura harisi alishaonyesha kuungana na msigwa
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO

Lissu alikuwa hata hayupo nchini alikuwa kwenye matibabu yake ulitaka aseme nini?. Hili swala la kitaifa sio mjomba Lissu muache tabia ya kusubiriana na kuwasubiri wachache wawaletee demokrasia nchini. Haya mauaji yanaendelea kwasababu wewe na wenzako hamjafanya kitu chochote.
 
Baadala ya kushughulika na watekaji sisi tunahangaika na akina Lissu kwanini wapi kimya. Kila saa tunatafuta vichaka vya kujifichia.
 
Back
Top Bottom