Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

Sasa kila mwanachadema akiongea si inakuwa taasisi iliyokosa utaratibu? Mwenyekiti taifa na mwenyekiti kanda ya kaskazini walishaongea inatosha. Pia think tank ya CHADEMA ndugu Mdude Nyagali alishaongelea hilo suala.
Hata kwenye Msiba au mazishi na hospitali hajaonekana kabisa. kwa tabia ya Lissu sidhani kama yupo nchini lazima angesema kitu.
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Dogo Mambo madogo hayo

Wenye akili tunalia na serekali kuanzisha kitengo Cha mauaji ndani ya idara

Serikali iko bize kuua na kutekwa watu alafu lawama apewe lisu,??
 
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.

Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.

R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Kwani wasemaji wa chadema ambao ni Mzee Mbowe,Lema na Malisa si walishasema?
 
Mbona unakwepa swali? Nadhan huko chadema Kuna Vita kubwa Sana ya madaraka ianze kuhojiwa chadema yote
"Chadema Huwa hawafanyi uchunguzi na kupeleka mashitaka mahakamani kwa matukio ya kuua na kutekwa

Chadema Wana kitengo Cha kuua na kutekwa chenye nguvu na uwezo kuliko serekali'

Hiyo ndo akili ya huyu bumumunda ayeleta hii post
 
Lissu sio Malissa wakujiripokea.

Kama sura halisi ya adui huijui busara ni kusoma mchezo kwanza.

Vinginevyo unaweza kuwa next target kirahisi kwa sababu huku mdhania kabisa adui.

Huu ni ukomavu kutoka kwa Lissu kuanza kupunguza siasa za hisia na mihemko nyakati za hatari. Kaona ngoja kwanza ausome mchezo ana source zake na yeye
 
Inawezekana kawachek familia moja kwa moja siyo kila mtu anafanya mambo ili aonekana kafanya wengine wanafanya kwa moyo wao
 
Back
Top Bottom