Kukomalia jambo lisilo na tija huku watu waikikupa ufafanuzi ni dalili za mtu aliyebobea katika upumbavu.Nisielewe nini sasa, yy ni makam mwenyekiti wa chama hajaomboleza msiba yupo kimya lazima tuhoji hii ni ishara ya migogoro ndani ya chadema
Wanasahau kwamba tarehe 7 September ndio kumbukumbu ya Lissu kumiminiwa mvua ya risasi. Huwezi kutarajia Lissu akawa sawa kwenye hii tarehe na yawezekana chama kilimpa ruhusa apumzike so nakubaliana nawe ataibuka tu na statement yake hapo baadae na huwa anatikisa kwelikweli.eptember Simba mtukutu Ataongea tu, matter of time
🚮🚮Nisielewe nini sasa, yy ni makam mwenyekiti wa chama hajaomboleza msiba yupo kimya lazima tuhoji hii ni ishara ya migogoro ndani ya chadema
Na mara nyingi akisema anaishia kuzodolewa mara dereva Yuko wapi mara hawaongei na mgonjwa 😔. Nchi hii kupitia CCM kila Aina ya uhalifu tumeuona. Yule mama aliefanyiwa ukatili Kule Dodoma tayari kesho yake watuhumiwa watatu wameshakamatwa wanahojiwa WA huyu Kiongozi WA CDM sijui watakuja na drama ipi?😔Hata yeye Lissu, tarehe 7'Septemba, ni siku ya kumbukumbu mbaya sana!
Mtu akiwa analia kwa uchungu huku anaongea utamuelewa kweli?Kwa nini usisubiri anyamaze ndiyo umuhoji?Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
sababu ni lopolopo angekuwa kishaongea sanaa mtuhumiwa huyo
Amerudi na ameongea umemsikiliza?sababu ni lopolopo angekuwa kishaongea sanaa mtuhumiwa huyo
Huyo yupo tayari kitu kimoja na mama chadema Bado kutoka mguu tuu ila sura harisi alishaonyesha kuungana na msigwaKitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
Mnataka a-outshine his Master halafu Ile kwake? Unamtakia Mema kweli?Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa
Yeah fikiri kabla ya kutenda
Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA.
Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi.
R. I. P ALI MOHAMED KIBAO