Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

Niliona tamko la Mh Wasira, ika sijasikia la Rais wala Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu
Wana kazi nyingine nyingi za maana za kufanya sio kushindia matamko

Suala liko liko chini ya vyombo vyake vya dola vinalifanyia kazi

Tamko lililotolewa na Kamanda wa Polisi ni la serikali Ulitaka wafanye marudio kama kasuku?
 
Niliona tamko la Mh Wasira, ika sijasikia la Rais wala Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu
wabunge, mkuu wa mkoa alikoshambuliwa askofu? Kama haujasikia lolote ujue wanahusika moja kwa moja
 
Huyo mzee ndiye aliyeng'ang'ania ukuu wa kanisa analoongoza hadi kutaka kupigana?😅

Halafu ni Mkuu wa chuo fulani nchini.
 
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi
Anajua watuhumiwa wa hilo tukio ni wale anaowatumikia, waliofanikisha kumuweka hapo alipo.
Kwa mazingira hayo hawezi kutia neno
 
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa na changamoto.

Katika mazingira ambayo viongozi wa dini hupaza sauti kupinga ukandamizaji au dhuluma, kutokuwepo kwa kauli kutoka kwa kiongozi mkubwa wa KKKT kunaweza kutafsiriwa kuwa:

Dalili ya kukosekana kwa mshikamano wa kweli miongoni mwa viongozi wa dini, jambo ambalo linaweza kudhoofisha umoja wao mbele ya jamii.

Hofu au tahadhari ya kisiasa, hasa kama tukio lenyewe linahusisha vyombo vya dola au masuala nyeti ya mamlaka.

Mkakati wa kimyakimya – huenda mazungumzo yanafanyika kwa njia isiyo rasmi au kwa tahadhari, ingawa jamii ingetarajia kauli ya hadharani.

Ukimya kama huu unaweza kufifisha matumaini ya waumini na wananchi kwa taasisi za kidini kama nguzo za haki na ulinzi wa maadili.
Una mawazo mazuri,hawezi kutokwenda kumuona!Watakuja wameonana tuu na kumpa pole na maombi!
 
Huyo mbona ni pandikizi la Serikali na ccm ni usalama wa taifa kitambo sana.
 
Hao tayari wameshakubali kugawanywa miongoni mwao, sio wamoja tena

Divide and rule theory ndicho kilichofanyika
 
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa na changamoto.

Katika mazingira ambayo viongozi wa dini hupaza sauti kupinga ukandamizaji au dhuluma, kutokuwepo kwa kauli kutoka kwa kiongozi mkubwa wa KKKT kunaweza kutafsiriwa kuwa:

Dalili ya kukosekana kwa mshikamano wa kweli miongoni mwa viongozi wa dini, jambo ambalo linaweza kudhoofisha umoja wao mbele ya jamii.

Hofu au tahadhari ya kisiasa, hasa kama tukio lenyewe linahusisha vyombo vya dola au masuala nyeti ya mamlaka.

Mkakati wa kimyakimya – huenda mazungumzo yanafanyika kwa njia isiyo rasmi au kwa tahadhari, ingawa jamii ingetarajia kauli ya hadharani.

Ukimya kama huu unaweza kufifisha matumaini ya waumini na wananchi kwa taasisi za kidini kama nguzo za haki na ulinzi wa maadili.
malasusa shetani kama mashetani wengine
 
Hawa viongozi wa dini wanajulikana itikadi zao. Kuna wengi tu wanachukiana sababu kuna wanadai haki na wengine wanapewa mil 150.
 
Malasusa hakuitwa na Mungu kufanya siasa
Anajua wito wake

Usimuelekeze wewe.Wewe sio Mungu uliyemuita
Aliyekuambia kutenda maovu ni kufanya siasa?

Samuel vs Sauli

Nathan vs Daudi

Eliya Vs Yezebel

Isaya Vs Manase

Yohana Vs Herode

Hao ni mifano michache walipokosoa wafalme wa wakat huo walijikuta katika wakati mgumu, watumishi wa Mungu wanapaswa kukemea maovu ya watawala hata kama itawagharimu, kwa sababu pia wana wajibu wa kuwaombea hao watawala

Cha kushangaza hao watawala wakitaka mambo yao yaende katika kutawala kwao huwakimbilia watumishi wa Mungu, inapofika hatua ya kuwaambia walipokosea watawala hugeuka na kusema eti wasiingilie siasa. Inashangaza
 
Dini hizi kilamtu anapambania kipande chake...😔
Catholic hajawahi kuwa na njaa ya kupata kipande chochòte kutoka kwa wadhalimu ila panapofaa kukemea na kushauri huwa hawasiti
 
Back
Top Bottom