Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

Mongoni mwa maaskofu bora zaidi pale kkkt ni askofu wa mkoa wa morogoro baba askofu jacob mameo paulo yeye huwa anakemea vitendo viovu vinavyofanywa na serikali dhidi ya wananchi. namkubali sana baba askofu mameo classment wangu tokea enzi hizo za primary school.
 
Usimpangie baba askofu cha kufanya. Hao maaskofu na Rais wa TEC wamesemaje na hiyo haitoshi? Msimpe umuhimu mtu ambaye hana huo umuhimu. Kitima ni mtu km watu wengine. RC ni chadema ila tu wamejificha kwenye yale magauni yao. Wajiweke wazi.
Kati ya fr kitima na wewe hapo nani ana umuhimu kwenye jamii?
 
Back
Top Bottom