Kwani ni dhambi kuwa mwanachama wa chadema nchi hii?Usimpangie baba askofu cha kufanya. Hao maaskofu na Rais wa TEC wamesemaje na hiyo haitoshi? Msimpe umuhimu mtu ambaye hana huo umuhimu. Kitima ni mtu km watu wengine. RC ni chadema ila tu wamejificha kwenye yale magauni yao. Wajiweke wazi.
Ni adhabu kuiambia CCM wanaahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima dataKwani ni dhambi kuwa mwanachama wa chadema nchi hii?
Wana kazi nyingine nyingi za maana za kufanya sio kushindia matamkoNiliona tamko la Mh Wasira, ika sijasikia la Rais wala Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu
wabunge, mkuu wa mkoa alikoshambuliwa askofu? Kama haujasikia lolote ujue wanahusika moja kwa mojaNiliona tamko la Mh Wasira, ika sijasikia la Rais wala Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu
Hatuwezi kusema wanahusika labda na wao wanaogopawabunge, mkuu wa mkoa alikoshambuliwa askofu? Kama haujasikia lolote ujue wanahusika moja kwa moja
🤣🤣🤣Ni adhabu kuiambia CCM wanaahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
Sijui kwa nini watu ni wazito kuconnect dot, refer kwenye uchaguzi wa kanisa vile gavoo ilimsapot huyu jamaaMalasusa yeye ni afisa kipenyo kama hujui.
NImesoma na mkewe chuoni IFM
Yupo kwa maslahi ya serikali sio kanisa
Anajua watuhumiwa wa hilo tukio ni wale anaowatumikia, waliofanikisha kumuweka hapo alipo.Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi
Wanaogopa nini na wao ndio wenye mamlaka,?',Hatuwezi kusema wanahusika labda na wao wanaogopa
Na siku ya kusimikwa kwake ,maandalizi yote hata msosi ulitoka jumba jeupe.Sijui kwa nini watu ni wazito kuconnect dot, refer kwenye uchaguzi wa kanisa vile gavoo ilimsapot huyu jamaa
Una mawazo mazuri,hawezi kutokwenda kumuona!Watakuja wameonana tuu na kumpa pole na maombi!Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa na changamoto.
Katika mazingira ambayo viongozi wa dini hupaza sauti kupinga ukandamizaji au dhuluma, kutokuwepo kwa kauli kutoka kwa kiongozi mkubwa wa KKKT kunaweza kutafsiriwa kuwa:
Dalili ya kukosekana kwa mshikamano wa kweli miongoni mwa viongozi wa dini, jambo ambalo linaweza kudhoofisha umoja wao mbele ya jamii.
Hofu au tahadhari ya kisiasa, hasa kama tukio lenyewe linahusisha vyombo vya dola au masuala nyeti ya mamlaka.
Mkakati wa kimyakimya – huenda mazungumzo yanafanyika kwa njia isiyo rasmi au kwa tahadhari, ingawa jamii ingetarajia kauli ya hadharani.
Ukimya kama huu unaweza kufifisha matumaini ya waumini na wananchi kwa taasisi za kidini kama nguzo za haki na ulinzi wa maadili.
Huyo mbona ni pandikizi la Serikali na ccm ni usalama wa taifa kitambo sana.Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa na changamoto.
Katika mazingira ambayo viongozi wa dini hupaza sauti kupinga ukandamizaji au dhuluma, kutokuwepo kwa kauli kutoka kwa kiongozi mkubwa wa KKKT kunaweza kutafsiriwa kuwa:
Dalili ya kukosekana kwa mshikamano wa kweli miongoni mwa viongozi wa dini, jambo ambalo linaweza kudhoofisha umoja wao mbele ya jamii.
Hofu au tahadhari ya kisiasa, hasa kama tukio lenyewe linahusisha vyombo vya dola au masuala nyeti ya mamlaka.
Mkakati wa kimyakimya – huenda mazungumzo yanafanyika kwa njia isiyo rasmi au kwa tahadhari, ingawa jamii ingetarajia kauli ya hadharani.
Ukimya kama huu unaweza kufifisha matumaini ya waumini na wananchi kwa taasisi za kidini kama nguzo za haki na ulinzi wa maadili.
Kwa hiyo ni dizaini ya Yuda Iscariot!Malasusa yeye ni afisa kipenyo kama hujui.
NImesoma na mkewe chuoni IFM
Yupo kwa maslahi ya serikali sio kanisa
malasusa shetani kama mashetani wengineUkimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa na changamoto.
Katika mazingira ambayo viongozi wa dini hupaza sauti kupinga ukandamizaji au dhuluma, kutokuwepo kwa kauli kutoka kwa kiongozi mkubwa wa KKKT kunaweza kutafsiriwa kuwa:
Dalili ya kukosekana kwa mshikamano wa kweli miongoni mwa viongozi wa dini, jambo ambalo linaweza kudhoofisha umoja wao mbele ya jamii.
Hofu au tahadhari ya kisiasa, hasa kama tukio lenyewe linahusisha vyombo vya dola au masuala nyeti ya mamlaka.
Mkakati wa kimyakimya – huenda mazungumzo yanafanyika kwa njia isiyo rasmi au kwa tahadhari, ingawa jamii ingetarajia kauli ya hadharani.
Ukimya kama huu unaweza kufifisha matumaini ya waumini na wananchi kwa taasisi za kidini kama nguzo za haki na ulinzi wa maadili.
Hawa viongozi wa dini wanajulikana itikadi zao. Kuna wengi tu wanachukiana sababu kuna wanadai haki na wengine wanapewa mil 150.Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa na changamoto.
Katika mazingira ambayo viongozi wa dini hupaza sauti kupinga ukandamizaji au dhuluma, kutokuwepo kwa kauli kutoka kwa kiongozi mkubwa wa KKKT kunaweza kutafsiriwa kuwa:
Dalili ya kukosekana kwa mshikamano wa kweli miongoni mwa viongozi wa dini, jambo ambalo linaweza kudhoofisha umoja wao mbele ya jamii.
Hofu au tahadhari ya kisiasa, hasa kama tukio lenyewe linahusisha vyombo vya dola au masuala nyeti ya mamlaka.
Mkakati wa kimyakimya – huenda mazungumzo yanafanyika kwa njia isiyo rasmi au kwa tahadhari, ingawa jamii ingetarajia kauli ya hadharani.
Ukimya kama huu unaweza kufifisha matumaini ya waumini na wananchi kwa taasisi za kidini kama nguzo za haki na ulinzi wa maadili.
Aliyekuambia kutenda maovu ni kufanya siasa?Malasusa hakuitwa na Mungu kufanya siasa
Anajua wito wake
Usimuelekeze wewe.Wewe sio Mungu uliyemuita
Catholic hajawahi kuwa na njaa ya kupata kipande chochòte kutoka kwa wadhalimu ila panapofaa kukemea na kushauri huwa hawasitiDini hizi kilamtu anapambania kipande chake...😔