Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakwenda kupiga kura kwa amani na watakaa mita 200 kama sheria ilivo kuhakikisha mawakala wao hawanyanyaswi. shughuli ni tarehe 29 siku wakitaja matokeo.... ndio wiki ya mabalaa itaanza. Tayari mazingira yametengezwa na chama tawala kuanzia leo.Kiongozi kesho unaona mood za raia zitakuaje pande hizo?
Daah aisee all the best mkuu maana naona shughuli imeshaanza kua pevu mapema kabisaaaa.Watakwenda kupiga kura kwa amani na watakaa mita 200 kama sheria ilivo kuhakikisha mawakala wao hawanyanyaswi. shughuli ni tarehe 29 siku wakitaja matokeo.... ndio wiki ya mabalaa itaanza. Tayari mazingira yametengezwa na chama tawala kuanzia leo.
Wewe umeaminije kama ni za huko?Niwatakieni salamu nyingi siku ya leo.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuanzia siku ya jana kumekuwepo na video na picha za majeruhi na waliofariki wenye majeraha yanayodhaniwa ni ya risasi na kwa taarifa za polisi wamekamata watu kadhaa kuhusiana na uchaguzi huku wakidai wametumia mabomu ya machozi kutawanya watu lakini sijasikia kuhusiana na majeraha na vifo ambavyo vimeonekana kwenye pucha zilizopigwa kwa simu binafsi.
Kwa upande wa vyombo vya habari tunavyoviamini kwa habari muhimu za kichunguzi hatusikii wakithubutu kuelezea wananchi yanayotokea.
Ukimya huu ambao hata watumiaji wa JF tunauona humu ni wa kutilia shaka na unaacha maswali mengi kama je hovi vyombo vinaweza kutuletea habari sahihi zisizo na chembechembe za woga na upendeleo.
Waandishi wa habari na vyombo vyao wanapaswa kuelewa kuwa wao ni kiunganishi kikubwa katika mambo ya msingi ya nchi na wakishaharibu uaminifu wanaopewa na watizamaji, wasikilizaji na wasomaji wa habari zao wanajiingiza katika janga kubwa.
Asante, shughuli imekuwa pevu tayari, kuna watu wameshauliwa Pemba na kuachwa na wengine majeruhi. Inasikitisha sana, yaani hadi magereza wametia kura leo ilhali naskia kuwa hawatakiwi kupiga kura.Daah aisee all the best mkuu maana naona shughuli imeshaanza kua pevu mapema kabisaaaa.
Aisee poleni sana kamanda,nimeona video mitandaoni zikionyesha watu waliomalizwa na majina yao yakitajwa lkn Sirro akisema hakuna mzenji aliyeuwawa lkn simshangai sana maana hata yule aquelina alivyouawa huku bara yeye alikanusha akasema sio risasi ya police iliyomuua.Asante, shughuli imekuwa pevu tayari, kuna watu wameshauliwa Pemba na kuachwa na wengine majeruhi. Inasikitisha sana, yaani hadi magereza wametia kura leo ilhali naskia kuwa hawatakiwi kupiga kura.
Ingekuwa mashoga ndio wanauliwa, nina uhakika UN/Human rights watch na wengine wangepigia debe nchi iwekewe vikwazo.
HAKUNA MCHA MUNGU ANAYEWEZA KUBALI KUTESWA KWA WATUMungu tu ndie atakaewalinda Wazanzibari na Zanzibar yote kwa ujumla.
Najiuliza ikiwa mtu anaejiita "MCHAMUNGU" anabariki yote haya yanayoendelea kwa raia wasio na hatia kisha anawataka haohao raia wamuombee?
Inasikitisha sana kuona wale ambao walitakiwa kulinda raia ndio wanaowauwa raia, na Sirro nae anasikitisha sana kuonesha kutojali.Aisee poleni sana kamanda,nimeona video mitandaoni zikionyesha watu waliomalizwa na majina yao yakitajwa lkn Sirro akisema hakuna mzenji aliyeuwawa lkn simshangai sana maana hata yule aquelina alivyouawa huku bara yeye alikanusha akasema sio risasi ya police iliyomuua.
Ila Polisi wao wanavyovamia watu waliokuwa wamekaa tu kwa amani na kuwapiga na kuwaharibia mali zao huna hizo kwenye makabrasha yako ukajua kwanini wakawa wanapigwa mawe?
Kansa mbaya iliyopo kwenye mioyo ya binadamu ni UNAFIKI tu.
Sheikh Ponda Issa Ponda na Umoja wa Maimamu wanakesha kuuombea Ushindi wa Lissu na Maalim Seif na kisomo kitafanyika kuwalaani Wakurugenzi wote wanaolazimisha Wizi wa Kura wao na Vizazi vyao
Unapokuwa muislamu usitarajie chombo cha habari wala international community. Mifano ipo mingi Palestine, Chenhnia, China n.kNiwatakieni salamu nyingi siku ya leo.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuanzia siku ya jana kumekuwepo na video na picha za majeruhi na waliofariki wenye majeraha yanayodhaniwa ni ya risasi na kwa taarifa za polisi wamekamata watu kadhaa kuhusiana na uchaguzi huku wakidai wametumia mabomu ya machozi kutawanya watu lakini sijasikia kuhusiana na majeraha na vifo ambavyo vimeonekana kwenye pucha zilizopigwa kwa simu binafsi.
Kwa upande wa vyombo vya habari tunavyoviamini kwa habari muhimu za kichunguzi hatusikii wakithubutu kuelezea wananchi yanayotokea.
Ukimya huu ambao hata watumiaji wa JF tunauona humu ni wa kutilia shaka na unaacha maswali mengi kama je hovi vyombo vinaweza kutuletea habari sahihi zisizo na chembechembe za woga na upendeleo.
Waandishi wa habari na vyombo vyao wanapaswa kuelewa kuwa wao ni kiunganishi kikubwa katika mambo ya msingi ya nchi na wakishaharibu uaminifu wanaopewa na watizamaji, wasikilizaji na wasomaji wa habari zao wanajiingiza katika janga kubwa.
Vurugu zilianza kuandaliwa kitambo na mwanzoni hazikuonekana kuwa ni tishio.Zanzibar hajakufa mtu, uongo unatengenezwa na Wapemba ambao ni mabingwa wa kubuni uongo na kulazimisha ionekane kama ukweli.
Nape alikuwa pia ni miongoni mwa anayofurahia hadi siku alipokuja ekewa panda usoni haro likagonga chupi. Hapo ndio akili yake ikaanza kufahamu kama polisi wetu ni sawa na mbwa kichaa au wahalifu waliovaa uniform.Vurugu zilianza kuandaliwa kitambo na mwanzoni hazikuonekana kuwa ni tishio.
Hayo yote yalifanywa kupitia mitandaoni.
Ila kitendo cha kuwatupia mawe askari polisi ambao kazi yao ni kulinda amani na usalama wa wananchi na mali zao si kitendo cha kuvumiliwa.
Sijawahi ona Tanzania raia wakiwarushia mawe askari polisi ni mara ya kwanza nashuhudia hiyo.
Sasa, what response from the police do you expect to be?
Asante, shughuli imekuwa pevu tayari, kuna watu wameshauliwa Pemba na kuachwa na wengine majeruhi. Inasikitisha sana, yaani hadi magereza wametia kura leo ilhali naskia kuwa hawatakiwi kupiga kura.
Ingekuwa mashoga ndio wanauliwa, nina uhakika UN/Human rights watch na wengine wangepigia debe nchi iwekewe vikwazo.
Polisi wanakabiliana na ghasia na vurugu zilizopangwa na ACT kabla ya uchaguzi.Nape alikuwa pia ni miongoni mwa anayofurahia hadi siku alipokuja ekewa panda usoni haro likagonga chupi. Hapo ndio akili yake ikaanza kufahamu kama polisi wetu ni sawa na mbwa kichaa au wahalifu waliovaa uniform.
Polisi kuvunja milango ya watu kwenye majumba na kuwaibia, sidhani kama umeshayasikia au utakuwa unaona sawa kama vile Nape wakati ule. Iko siku tutafahamu tuu baina ya siasa na masuala muhimu ya kitaifa.
Polisi wetu wamejikita kisiasa, hili halitaki tochi na linahitajika lipatiwe mjadala wa kitaifa na suluhu.
Polisi wanakabiliana na ghasia na vurugu zilizopangwa na ACT kabla ya uchaguzi.
Mbona hata huko Marekani wanapiga kura tangia jumatatu na hakuna anaepiga kelele?..kura ya mapema ni tatizo.
..badala ya vyombo vya dola kuchagua nusu shari, vikachagua shari kamili.
..halafu utakuta waliopitisha uamuzi huu wa kura ya mapema hawachukuliwi hatua yoyote.
..tusema hawakujiuliza madhara na hatari ya kura hiyo?