Naam, wanafuata watu vibarazani mtaani, sasa kama hujui Zanzibar kuna kikosi al maarufu wanaitwa Mazombie, wamevamia sehemu na kupiga watu, na kuna video imesambaa wamerikodiwa na CCTV wameiba hadi TV ambayo imeekwa nje watu walau watizame wasiokuwa na TV kwao.kwahiyo walikuwa wanawavamia na kuwapiga???maana nimesoma pia marehem kadhaa wameuwawa vibarazani mwao.yaani polisi na wanajeshi wanakufata kwako wanakupiga risasi,kama ulivyoandika mkuu.
ama kweli ni uonezi mkubwa.
Sasa ukishafanya ivo unategemea raia wakufanye nini?