Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Umeangukia pua. Wewe sasa ndio utaisoma number zile ruzuku mlizokuwa mnasomba ndio mwisho chacha...POLENI.
..Mambo haya yanatia uchungu.
..Nakosa maneno ya kuandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeangukia pua. Wewe sasa ndio utaisoma number zile ruzuku mlizokuwa mnasomba ndio mwisho chacha...POLENI.
..Mambo haya yanatia uchungu.
..Nakosa maneno ya kuandika.
Nadhan umejua hujuiZimevuja:Magufuli anaogopa sana, na hapati usingizi, mpaka abugie lundo la Vidonge vya hamu ya usingizi.
CCM IMEIBA UCHAGUZIKhe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee JPM asilale kisa majungu? Unaota wewe.
Hayo yameshapita tujenge nchi.asee kwa hii akili Kama yako ccm wataongoza milele..hivi umeona ulichopost
#akili ndogo mtaji wa ccm