Zanzibar 2020 Ukimya wa Vyombo vikubwa vya Habari kwa yanayotokea Zanzibar

kwahiyo walikuwa wanawavamia na kuwapiga???maana nimesoma pia marehem kadhaa wameuwawa vibarazani mwao.yaani polisi na wanajeshi wanakufata kwako wanakupiga risasi,kama ulivyoandika mkuu.

ama kweli ni uonezi mkubwa.
Naam, wanafuata watu vibarazani mtaani, sasa kama hujui Zanzibar kuna kikosi al maarufu wanaitwa Mazombie, wamevamia sehemu na kupiga watu, na kuna video imesambaa wamerikodiwa na CCTV wameiba hadi TV ambayo imeekwa nje watu walau watizame wasiokuwa na TV kwao.

Sasa ukishafanya ivo unategemea raia wakufanye nini?
 
..POLENI.

..Mambo haya yanatia uchungu.

..Nakosa maneno ya kuandika.
Ni mambo ambayo yanasikitisha kwa kweli.... Wanawaingilia watu mitaani Usiku. Wanajenga chuki baina ya vikosi na raia hili ni jambo hatari sana. Polisi kama wameamua kutumia bunduki, basi walau wangekuwa wanatumia rubber bullets lakini wanatumia za moto kabisa, shot to kill.
 
Mtanzania ambaye hajui hata kuandika jina la nchi yake kwa usahihi ni wa kupuuzwa na nakupuuza kama ninavyopuuza watuma post chini ya viwango.
 
I T V ilikua live tangu asubuhi na Hakuna mtu yeyote anaepigwa zaidi ya wale wavuruga amani wanaolazimisha kupiga kura Leo wakati wao si watumishi WA umma. Wanatumika name mabeberu kupitia vibaraka wao Ili kuchafua taswira ya amani iliyopo.
Acha kuficha maovu wewe.
 
Nilichokiona ni wanachama wa ACT wakiwapiga mawe askari.Na hii ni baada ya kugundua watashindwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu wanatamani fujo itokee.





MAGUFULI4LIFE.
asee kwa hii akili Kama yako ccm wataongoza milele..hivi umeona ulichopost

#akili ndogo mtaji wa ccm
 
Polisi wanakabiliana na ghasia na vurugu zilizopangwa na ACT kabla ya uchaguzi.
Huo ni mtazamo wako binafsi, wengine wanaona CCM kwa kutumia ZEC waliwahi mwanzo kupanga vurugu (kura ya awali). Sababu za ujanja huu wa kura ya awali haina mantiki.

Tukubaliane kitu kimoja, ifike mahali kila mmoja akubali kuheshimu maamuzi ya wananchi. CCM kwa ninavyoifahamu mimi haijawahi kushinda uchaguzi sio katika historia ya kabla ya uhuru wala baada ya kuanzishwa vyama vingi.

Mara ambazo walishinda uchaguzi Zanzibar niseme wazi ni pale tuu pasipo ushindani yaani chama kimoja, au bila ya upinzani. Si vyenginevyo!
 

Mbona wewe binafsi umeshindwa kuweka hapa hizo video na picha? Au unasema Jamii forum wamekuzuia?
 
Mungu tu ndie atakaewalinda Wazanzibari na Zanzibar yote kwa ujumla.
Najiuliza ikiwa mtu anaejiita "MCHAMUNGU" anabariki yote haya yanayoendelea kwa raia wasio na hatia kisha anawataka haohao raia wamuombee?
Iko hivi, akiomba wamuombee, nashauri wamuombee maradhi yatakayomuondoa ikulu mapema na kuugua kwa miaka 15, ashuhudie haki ikitendeka na Wazanzibar kupata uwakilishi waliouchagua.
 
Wanaogopa kubambikwa uhujumu uchumi
 
Zanzibar hajakufa mtu, uongo unatengenezwa na Wapemba ambao ni mabingwa wa kubuni uongo na kulazimisha ionekane kama ukweli.


Kwa sababu hakuna wako aliyeguswa.

Mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi
 
Zimevuja:Magufuli anaogopa sana, na hapati usingizi, mpaka abugie lundo la Vidonge vya hamu ya usingizi.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee JPM asilale kisa majungu? Unaota wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…