Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Si kawaida vyombo vya habari kuishi habari katika kipindi cha uchaguzi ila kwa Tanzania Vyombo vyote vya Habari havina matangazo balanced, habari wanazotoa ni za upande mmoja hasa kuhusu maoni, mitizamo na mwono wa walioshindwa.
Leo hii walioshindwa wakijiunga na chama tawala hata kama aliyejiunga ni diwani media zote zinarusha lakini kuwahoji live walioshindwa kila mwandishi anaogopa na kwa waliojaribu wanafanya kwa kuvizia.
TUSIOGOPE HII NCHI NI YA WATANZANIA. NI NCHI YETU SOTE HATA KAMA WAPO WATANZANIA WA DARAJA LA KWANZA NA DARAJA LA CHINI ILA SOTE NI WANANCHI NDANI YA NCHI YETU TUABARISHENI. WAKORAAAA