kabisa,mfumo wetu wa eliimu ni shida sana...badala ya ya kusoma mambo ya maana kama reasoning mnafundihswa kilimo cha tumbaku Malawi...stupid kabisa!Uogsa wa Tanzania uko kwenye gins kujakuondoa ni lazima mfumo mzima wa elimu ya kusifia sifia viobgozi na nchi ya Tanzania viondolewi kweny syllabus yetu
Toka nje ya box la kisiasa mzee(u sisiem na u chadema weka pembeni).usihusishe wengine kwenye kufanywa kwako gentleman tafadhali sana,
waTanzania ni wamoja, imara na wanasonga mbele kwa amani bila mbambamba ya vibaka au matapeli wa kisiasa wowote nchini 🐒
Huyo taahira kumtoa nje ya sisiem ni sawa na kumtoa samaki nje ya maji, hakuna cha maana anachoweza kufanya.Toka nje ya box la kisiasa mzee(u sisiem na u chadema weka pembeni).
Tuongee katika maslahi mapana ya taifa.
Mimi sio shabiki wa chama cha siasa chochote.
Kama vile umeanza kuona uchawa sii malii eee.Kuwaaminisha watu chama kina wala rushwa ukashindwa kuwachukulia hatua imesababisha wananchi kuwapuuza wanasiasa kuwaona wapo tayari kumchafua mtu kwa maslahi ya matumbo yao!
Tafakari huo ujumbe vyema...Kama vile umeanza kuona uchawa sii malii eee.
Tuendelee kuelimisha na wengine uchawa unaliangamiza taifa,hungera kwa hatua tusonge mbele tulisaidie taifa na watu wetu.Tafakari huo ujumbe vyema...
nje ya siasa,Toka nje ya box la kisiasa mzee(u sisiem na u chadema weka pembeni).
Tuongee katika maslahi mapana ya taifa.
Mimi sio shabiki wa chama cha siasa chochote.
NYENYERE NA LIMWENGE LAKE NDIO WALILOGA HII NCHI BOSIMkuu,yawezekana unachosema ni kweli,ila nafikiri kwa nchi hii sababu kuu ni 1.kukosa uelewa wa elimu ya uraia 2.Uoga ambao unasababishwa na hiyo sababu namba 1