Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Mimi naisi ukifuatilia hili sakata watu wote wenye malengo ya muda mrefu walikausha kimya.
C.C Mwigulu, Majaliwa, Makamba
C.C Mwigulu, Majaliwa, Makamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hana mvuto wa kisiasa maana yake ana element za kidikteta basi ndio anafaa tumpe uraisi atukuwa kama JPM yeye ni kuchapa kazi tu na kutumbua wazembeWatanzania gn wana iman na uyo jamaa hao unaosema asilimia kubwa?
Hana mvuto wa ksiasa kama sumaye tu hana power yoyote ile kwa umma yule zaid ya kofia ya uwaziri mkuu ndo inamfanya aonekane kdogo nje ya hapo hamna ktu kuna huyo na kuna ndugai naye hana nguvu ya ksiasa kwny taifa hli, pia kuna hangaya naye cheo cha ukuu wa nchi ndo kmemfanya angalau aonekane nje ya hapo hawez pambana hata na ezekia wenje kwny medani za ksiasa.
Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Tuna ambiwa na nani?Unaambiwa wabunge wenyewe wanajitetea mitaani
waziri mkuu anaona mbali na hawezi kuwasaliti watanzania.huyu ndo alitakiwa kuwa raisi wa nchi hii na endapo ingekuwa vile basi hatungefika huko.Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Waziri mkuu bado ni mtu mdg muda wowote anaweza kuwekwa pembeni. Bosi wa nchi anafamikaHabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
dikteta mpeni ukoo wenu awaongoze mpate hayo maendeleo muwe matajiri, taifa hli si mali ya mtu kuja kuliongoza kwa mabavu na matamko na kujipa uungu kwamba hakosei na anajua kila ktu.Kama hana mvuto wa kisiasa maana yake ana element za kidikteta basi ndio anafaa tumpe uraisi atukuwa kama JPM yeye ni kuchapa kazi tu na kutumbua wazembe
Unadhani angekuwepo JPM mtu anbaye hakuwa na mvuto wa kisiasa bandari ingeuzwa?
Bandari ingefanya kazi na maendeleo yangepatikana hata Kwa kutumia viboko
Huyu jamaa amekuwa kimya sabab waliobeba Ngoma na kuipiga hafananan nao miondoko. Na hawez kutia maguu hapo sabab hiyo Ngoma Ina wenyeweWatanzania gn wana iman na uyo jamaa hao unaosema asilimia kubwa?
Hana mvuto wa ksiasa kama sumaye tu hana power yoyote ile kwa umma yule zaid ya kofia ya uwaziri mkuu ndo inamfanya aonekane kdogo nje ya hapo hamna ktu kuna huyo na kuna ndugai naye hana nguvu ya ksiasa kwny taifa hli, pia kuna hangaya naye cheo cha ukuu wa nchi ndo kmemfanya angalau aonekane nje ya hapo hawez pambana hata na ezekia wenje kwny medani za ksiasa.
Acha ujinga,Acha propaganda bandari haijauzwa
Kweli kabisa, ata kabudi ambaye mama alisema atamshilikisha kweye mikataba amsaidie Yuko kimya navyomjuwa kabudi bungeni angeutetea tu, Kuna kitu Kwa awa nduguHabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Ndio Ile kusema ndio tunataka, makofi siasa tu ,kauli ndio tunayoitakaJana Bungeni alikuweko akipiga yale makofi yao ya kipekee ya kiheshimiwa sana ya kugonga meza kwa ki/viganja
Mkataba uliosainiwa na Mh. Rais, Waziri Mkuu hana Mamlaka nao.Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Da watu mkoo vizuri Sasa naanza kuamina Kuna shida,Na makamu wa raisi umesahau

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa TaifIssue ya Bani ssue
Bandari ni mtego wabunge wenye busara na akíli wamekaa Kimya, Maana ikiback fire nI hatari tupu.Habari Wakuu!