Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

Mimi naisi ukifuatilia hili sakata watu wote wenye malengo ya muda mrefu walikausha kimya.
C.C Mwigulu, Majaliwa, Makamba
 
Watanzania gn wana iman na uyo jamaa hao unaosema asilimia kubwa?
Hana mvuto wa ksiasa kama sumaye tu hana power yoyote ile kwa umma yule zaid ya kofia ya uwaziri mkuu ndo inamfanya aonekane kdogo nje ya hapo hamna ktu kuna huyo na kuna ndugai naye hana nguvu ya ksiasa kwny taifa hli, pia kuna hangaya naye cheo cha ukuu wa nchi ndo kmemfanya angalau aonekane nje ya hapo hawez pambana hata na ezekia wenje kwny medani za ksiasa.
Kama hana mvuto wa kisiasa maana yake ana element za kidikteta basi ndio anafaa tumpe uraisi atukuwa kama JPM yeye ni kuchapa kazi tu na kutumbua wazembe

Unadhani angekuwepo JPM mtu anbaye hakuwa na mvuto wa kisiasa bandari ingeuzwa?

Bandari ingefanya kazi na maendeleo yangepatikana hata Kwa kutumia viboko
 
Hili LA bandari lina utusitusi ndani yake kama una long term plan ya kugombea urais wa tz bara ,ni bora ukakaa kimya Maana ikiwa mambo yataenda ndivyo sivyo unawezwa kuwekwa kwenye list of shame.
 
Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.

Acha propaganda bandari haijauzwa
 
Kwani kwenye kupitisha azimio hakuwepo mle mjengoni, acha kabisa kumuengua.
 
Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
waziri mkuu anaona mbali na hawezi kuwasaliti watanzania.huyu ndo alitakiwa kuwa raisi wa nchi hii na endapo ingekuwa vile basi hatungefika huko.
 
Ule mkataba ni aibu mno mno kwa CCM.
Mmeuza hadi utu wetu sisi wa Tz.
MMetuacha uchi hadharanoi tena mchana kweupe!
Kumbukeni hii ni laana kwenu watoto wenu na wajukuu wenu hadi kizazi cha 4!
 
Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Waziri mkuu bado ni mtu mdg muda wowote anaweza kuwekwa pembeni. Bosi wa nchi anafamika
 
Kama hana mvuto wa kisiasa maana yake ana element za kidikteta basi ndio anafaa tumpe uraisi atukuwa kama JPM yeye ni kuchapa kazi tu na kutumbua wazembe

Unadhani angekuwepo JPM mtu anbaye hakuwa na mvuto wa kisiasa bandari ingeuzwa?

Bandari ingefanya kazi na maendeleo yangepatikana hata Kwa kutumia viboko
dikteta mpeni ukoo wenu awaongoze mpate hayo maendeleo muwe matajiri, taifa hli si mali ya mtu kuja kuliongoza kwa mabavu na matamko na kujipa uungu kwamba hakosei na anajua kila ktu.

Ulivyo kichaa unadhan kuwa dikteta n kutokuwa na mvuto wa ksiasa wapo ma dikteta waliokuwa na mvuto kwa wananchi wao yule magufuri alikuwa uchwara tena yule angetuuza kmy kmy huku radio na tv zkimpamba hakuna ktu mle tulikuwa tunaongozwa na kchaa.

Ccm must go haraka sana.
 
Watanzania gn wana iman na uyo jamaa hao unaosema asilimia kubwa?
Hana mvuto wa ksiasa kama sumaye tu hana power yoyote ile kwa umma yule zaid ya kofia ya uwaziri mkuu ndo inamfanya aonekane kdogo nje ya hapo hamna ktu kuna huyo na kuna ndugai naye hana nguvu ya ksiasa kwny taifa hli, pia kuna hangaya naye cheo cha ukuu wa nchi ndo kmemfanya angalau aonekane nje ya hapo hawez pambana hata na ezekia wenje kwny medani za ksiasa.
Huyu jamaa amekuwa kimya sabab waliobeba Ngoma na kuipiga hafananan nao miondoko. Na hawez kutia maguu hapo sabab hiyo Ngoma Ina wenyewe
 
Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Kweli kabisa, ata kabudi ambaye mama alisema atamshilikisha kweye mikataba amsaidie Yuko kimya navyomjuwa kabudi bungeni angeutetea tu, Kuna kitu Kwa awa ndugu
 
Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Mkataba uliosainiwa na Mh. Rais, Waziri Mkuu hana Mamlaka nao.
 
Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Screenshot_20230613_070216_Samsung Internet.jpg
 
Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa TaifIssue ya Bani ssue

Habari Wakuu!

Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.

Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.

Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Bandari ni mtego wabunge wenye busara na akíli wamekaa Kimya, Maana ikiback fire nI hatari tupu.

Waache akina msukuma waendelee kubwatuka ujinga
 
Back
Top Bottom