Ukimya wa Zitto Kabwe na wenzake dhidi ya kauli ya Polopole wanaCCM "kuijua ACT WAZALENDO" ni ngumu kumeza

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣

Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise.

Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa ametimuliea au kukatwa CCM
 
Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa Act WAZALENDO kwani wanaccm hawajui Act?😂😆🤣

Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya ccm aise.

Yawezekana Act ni TAWI la ccm na kila Mwaka wa uchaguzi ccm ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa ametimuliea au kukatwa ccm
Nakusaidia picha
IMG-20250808-WA0062.jpg
 
Zitto Kabwe alishasema baada ya kusakamwa sana na Mbowe Serikali ilitaka kumpa Ubalozi wa Ujerumani Chini ya Membe lakini akakataa, wakataka kumpa Uwaziri akakataa pia

Wakamuuliza unataka nini? Akasema anataka Chama Cha Siasa

Mlale unono 😄🙏🇹🇿🥷
 
Kwani Tatizo hapo liko wapi, alikuwa wazi kuwa anataka kuwa na Chama Cha Siasa, na kama Mtanzania yeyote alikuwa na hiyo haki na ametimiza ndoto yake, So nadhani Nyie wapinzani wake, mjikite zaidi katika kuweka Nyumba yenu sawa kwanza, msitafute mchawi kwa matatizo ya ndani ya Familia yao. Zitto hapo Mnamuonea. Mmebomoa nyumba yenu kwa mikono yenu wenyewe, kutoshaurika na kuwa rigid kwenu,
 
Nani kasema Kuna Tatizo? 🐼
 
Hilo la vishikwambi tu litoshe kufunga mjadala.
Hata kama tuhuma zenu ni sahihi, basi CCM wanapaswa kupongezwa kwa kuwa smart na kuwa na workable strategies . Kosa hapo liko wapi, wanajua kucheza mchezo wa siasa, na nyie mnapaswa pia kuja na smart workable counter strategies, siyo kulalamika. Tumechoka na lalama zenu.
 
Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣

Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise.

Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa ametimuliea au kukatwa CCM
Polepole kapiga nyuklia mwandiga.

Watu wanatafutana.

Tanzania vyama vya siasa ni viwili tu CCM iliyokufa na kutegemea dola pamoja na CHADEMA chama kinachopendwa zaidi na Watanzania
 
Chadema ipi hiyo? Tangia January 2025 CDM ilifariki kifo cha ghafla, na chanzo cha kifo chake tunasikia kuwa ni ugonjwa wa kutosikia .
 
Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣

Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise.

Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa ametimuliea au kukatwa CCM
Act ni side project ya ccm, designed ku neutralize power ya chadema but hawajafanikiwa

Until wwalipowapa kesi
 
Huyo aliyelalamika, anatupa picha kwaba ZK ni tatizo la kukua kwa chama chao au kazi za chama chao katika siasa za Tanzania, yeye anacheza na fursa kama zinaweza kunfikisha kwenye malengo yake ya kisiasa kwa chama chake na as individual pia.
Ni kweli kabisa Zitto kasomeshwa na Mzee Sitta na alipelekwa Chadema na Mbowe akitokea Chuo kikuu kisha baadae yeye na Prof Kitila ( mwenyekiti mstaafu wa UVCCM Singida) na Yule Mwigamba wakaanzisha chama chao cha Siasa

Ni mafanikio makubwa Win - Win
 
Samia alipokuwa Kanda ya ziwa juzi alisema Mpina ni mbunge wa Taifa asipitishwe jimboni kwake atampa nafasi ya kuteuliwa!! Kumbe Samia ndo mteuzi wa wagombea wa vyama shikizi nimeamini,,kule Chaumma napo kateua yeye mgombea
 
Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣

Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise.

Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa ametimuliea au kukatwa CCM
Zitto ni dalali tu huyo na hawawezj kumjibu pole pole maana wana ogopa ana ushahidi
 
Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣

Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise.

Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa ametimuliea au kukatwa CCM
Fikra potofu haswa.

Kama kuna Uchaguzi Mkuu ambao CCM inashiriki huku ikiwa na pancha nyingi kwenye uongozi, ngazi zote, ni wa mwaka huu.

Kitendo cha kumwengua January na Mpina kujiunga na upinzani kama mgombea Urais ni keti ya ushindi kwa vyama vya upinzani.

Iwapo vyama vya upinzani vikiamua kushirikiana, litakuwa anguko la CCM mithili ya KANU.

ANGALIZO: Vyama vya upinzani kusimamisha mgombea wa Urais, kila kimoja, ni moja ya udhaifu utakaompa mgombea wa CCM kupita kwa urahisi.

LAKINI: CCM ijiandae upinzani mkubwa kwenye awamu ifuatayo, ndani na nje ya bunge.
 
Si kweli kwamba CHADEMA imekufa. Kuna wahuni wanajaribu kuiua kwa faida zao binafsi, maana upinzani huleta chachu ya maendeleo kwa Taifa. Chama Cha upinzani ni watch dog kwa Chama kinachokuwa madarakani.
Lakini wapo watu wanaofikiri kwa kutumia masaburi wanafurahia upinzani kumalizwa!
Watu wanaokesha usiku na mchana wakipanga jinsi ya kudumaza au kuua upinzani ni waoga, wabinafsi, wahuni wasiotakia mema nchi hii.
 
Back
Top Bottom