LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Pole pole kasema ukweli...Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣
Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise.
Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa ametimuliea au kukatwa CCM