#COVID19 Ukiniambia kwanini napinga ripoti ya Tume ya CORONA, majibu yangu ni mepesi kabisa

We Mshana ingawa unasema hujasoma lakini una akili kama za Prof Assad, ni ndugu yako ? , yeye alisema 60% ya wafanyakazi serikalini ni below perfection, yaani uelewa wao au utendaji wao ni hali jojo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1548]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kitu ni ya wakubwa huko nje Ni mpango unaandaliwa wa Dunia nzima The new world order na ikionekana wewe unaenda tofauti na wao lazima wakuweke pembeni Kama Anko magu na chanjo itakuwa hiari kwa Sasa Ila badaye itakuwa lazima maana Kuna vigezo vitawekwa ambavyo vitakufanya wewe uchanjwe mfano kusafiri nje ya nchi au ndani ya nchi,kuchangamana na watu au kupata kazi kwenye kampuni yoyote ile.
 
Unge mwa acknowledge mwenye andiko. Inakuwa vyema zaidi.nlilisoma kwenye group moja kabla halijatumwa humu. Jina la mwandishi lililnitoka.


 

Jaji a.k.a Mkaruka asante sana kwa good analysis of Health
 

Well said bro [emoji41], kudos [emoji1548]
 

Sawa Mkwaya Org
 
Ukitazama kwa jicho la tatu hii tume ina hiden Agenda.
Nafikiri Mama aliamua kufuata matakwa ya WHO ila hakutaka ionekane ni uamuzi wake binafsi kama alivyokua anafanya bwana jiwe

Kwahiyo Mama kajivua lawama isionekane ni maamuzi yake binafsi maana wanasayansi wetu bongo walikua wakiisakama serikali balaa khs nyungu
 
Upo sawa kabisa, hiyo tume imesheheni upumbafu kabisa ambao hauwezi tolewa na elimu!
 
Kuna wanasayansi bongo hii mkuu? Kama ukitaka kujua wanasayansi wetu, check kilicholetwa na tume hii, full plagiarism.
 
Jamani wanaJF vijana wanasema kama kusoma huwezi hata PICHA inakushinda.

Kama magwiji wa dunia wanasema hayo aliyotuletea M2WAWA2 hivi sisi ni nani tushabikie chanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…