Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

hebu acha uongo,mi nna marafiki zangu wengi tu wamelelewa na mama zao mbona hawaichukii hiyo hali? Kwani kuna shida gani kama mtu hataki kuolewa na anataka mtoto akizaa! Kila mtu ana maamuzi yake bana ilimrad havunji sheria.

Huyo yamemkuta na ni yeye ndo anasikia vibaya hana lolote kutuchafulia hali ya hewa tu
 
Punguza jazba maty mwenzio atakojolea wapi?ok anahtaji maombez ya week1
 

Shukuru Mungu wewe uliyejikuta umezaliwa katika hali hiyo ya 'ndoa takatifu'
 
kwanza mbona alichelewa,angemalkizia kutenganisha kichwa na kiwiliwili chake.

sio suluhisho hilo Tatiana, ondoa hilo pepo la mauaji,
isitoshe utamfanya huyo mtoto aishi na kukua bila kumwona baba yake katika maisha yake yote,
na mbaya zaidi akija kujua kuwa mama ndo alimuua baba,
hata upendo wake kwako hautakuwepo milele!!!!
Issue ni kukaa na kuzungumza pamoja tu!!!!!!
 
Yan huyo dada alikosea kidogo angelenga kile kisu kwenye kifanyio cha huyo dr ili akidondoshe kabisaa! aone kama angetamka mameno ya kashfa kiasi hicho! eti nilikua na shida na mtoto!!!!!!! Pambafu kabisa huyo dr

Ahahaha!yani.and kuna mtu kasema wamama wawe na busara,yani huyo mwanaume alivokua anamtumia kama chombo cha reproduction busara zake zilikua wap?.
 

Tunashauriwa na dini zote kueshimu ndoa hii inatokana na tabia mbaya ya uzinifu.
 
 
Anakemewa yupi hapa? dr au mama mtoto?

huyu mama alietaka kuua,
alipaswa kukemewa kabisa!!!!
unajua labda kwakuwa haijatolewa sababu ya msingi ya kwanini dr. aliamua kumchukua mtoto,
yawezekana, malezi ya huyu mtoto kwa yule mama yalikuwa na kasoro fulani,
Achilia mbali kuwa huyo ndo alikuwa mtoto wa kiume pekee kwa dr.
 
Ahahaha!yani.and kuna mtu kasema wamama wawe na busara,yani huyo mwanaume alivokua anamtumia kama chombo cha reproduction busara zake zilikua wap?.

Eti???? Huyo mama mpaka kufikia uamuzi huo ameshaumia sana.
Na huyo mwanaume alikuwa hajatulia kwenye ndoa yake
ndo maana kafanya uzinifu na kupata mtoto hapo busara ya mwanaume iko wapi???
 
 

Unataka sababu gani ya msingi???
Kashasema dr. anataka mtoto wa kiume ana watano wakike
 
Nilitaka achukue Uamuzi Mkubwa zaidi lakini huo wa KUUA ni mbaya
coz isingemsadia chochote zaidi ya KIFUNGO!!!
Pls 2sichukue uamuzi mbaya na 2jitahidi kucontrol hasira zetu!!!
 
 
Eti???? Huyo mama mpaka kufikia uamuzi huo ameshaumia sana.
Na huyo mwanaume alikuwa hajatulia kwenye ndoa yake
ndo maana kafanya uzinifu na kupata mtoto hapo busara ya mwanaume iko wapi???

sidhani kama tunatakiwa tufike huku kwenye uaminifu wa ndoa,
kwani tukisema hivo,
hata huyo mwanamke amefanya vibaya kuzaa na mume wa mtu!
issue hapa ni kwamba, mwanamke anapaswa kukemewa kwa kutaka kuua!
hayo mengiene ya uzinzi n.k, ni ya baadae sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…