Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

uchungu mnaujua nyinyi tu akina mama,
sisi akina baba hapana,
au sisi sio wazazi jamani?
 
kitendo cha kumchukua mtoto ni busara zaidi kwa dr,
kwa jinsi alivyoona yeye,kuliko kumwacha mtoto kwa mama yake,
kwanini hiki kitendo cha baba kumchukua mwanae unakiita ni wizi?

Mwizi huyo acha kutetea ujinga kwanini amchukue bila ruhusa??
Wakati wakilala kitandani aaahhh hebu acha kuniudhi mimi maana nina hasira
 
Possibly kuna untold story, Walizungumza nini before hawajazaa? Wenda walikubaliana azae and achukue mtoto who knows?
and why fighting over mtoto, s/he grows up and find hs/hr mother/dad.......................kama ni mimi sihangaiki................bt will make sure na mvisit and necesary care inapatikana.........
 
uchungu mnaujua nyinyi tu akina mama,
sisi akina baba hapana,
au sisi sio wazazi jamani?

Nina wasiwasi na wewe kama ni mwanaume kweli
Unakwenda wodi ya wazazi wewe??
Muulize Asprin watoto ni siri ya nani atakupa jibu
 
na kwanini huyu mdada,
alikuwa tayari kubeba hiyo mimba kwa miezi yote hiyo tisa,
huku akijua kabisa kuwa huyu baba ana mke wake?
bila shaka na yeye aliridhia hilo!!!!!
 
kuwa na roho mbaya za kuua eeeh?
 
na kwanini huyu mdada,
alikuwa tayari kubeba hiyo mimba kwa miezi yote hiyo tisa,
huku akijua kabisa kuwa huyu baba ana mke wake?
bila shaka na yeye aliridhia hilo!!!!!

Unajua kutoa mimba ni dhambi?? Ulitaka aitoe? Mapenzi yalizidi mpaka akasahau siku mbaya
 
Mwizi huyo acha kutetea ujinga kwanini amchukue bila ruhusa??
Wakati wakilala kitandani aaahhh hebu acha kuniudhi mimi maana nina hasira

polepole desidii,
hizo hasira ndo zilimfanya huyo dada mwenzio kutaka kumuua baba watoto wake!!!!
 
polepole desidii,
hizo hasira ndo zilimfanya huyo dada mwenzio kutaka kumuua baba watoto wake!!!!

Mtoto anauma wewe acha kabisa yaani nina hasira kumzidi huyo dada
 
basi tumzomee huyo dokta.
Mwiziiiii, mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiii huyoo!!!!!!!! Achomwe moto!!!!!

Tatiana, kosa la jinai kumwita huyu baba mwizi,
yawezekana aliamua kufanya hivo ili kuepusha majanga makubwa zaidi,
heri nusu shari kuliko shari kamili bana!!!!!!
 
Tatiana, kosa la jinai kumwita huyu baba mwizi,
yawezekana aliamua kufanya hivo ili kuepusha majanga makubwa zaidi,
heri nusu shari kuliko shari kamili bana!!!!!!

MWIZI mkubwa huyooooo wewe mbona unamtetea sana au ni wewe nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…