Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 555
- 1,290
Wenzako wanaenda kutafuta connections za biashara wewe endelea kulia lia
Sent using Damu ya Yesu
Sent using Damu ya Yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchaga yupi? Kuna wamachame, warombo, wamarangu, wauru, wakibosho, waoldmoshi na wote hao wanalugha zao hawasikilizani kabisa. Ndugu zangu wameoa wamachame na wamarangu na bado wanaenda huko na kulala kwa wakwe! Au wewe unasema mambo ya mwaka 47?
Huwezi sema neno la neno hapa ni apa!Hujaelewa, mimi nimeanza na makosa ya Wahaya nikamakizia na neno sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi sema neno la neno hapa ni apa!
Sio kweli mwanamke aliyeolewa asielala kwao ni yule aliyeolewa maeneo ya jirani na kwao ila kama umeolewa mbali na hapo waweza lala hata mweziMleta mada unaonekana hujui chochote kuhusu mila za wachaga. Katika jamii nyingi za wachaga, mwanamke akishaolewa haruhusiwi tena kurudi na kulala nyumbani kwao unless kuwe na tatizo kubwa kama msiba ndio ataweza kulala. Mwanamke anaeweza kurudi uchagani na kulala ni yule ambae hajaolewa. Kwahiyo hao unaoona wakienda uchagani ni wanaume wa kichaga ambao aidha wameoa wachaga wenzao au wameoa makabila mengine. Kamwe mwanamke wa kichaga hawezi kumchukua mume wake halafu akamlaze kwa baba mkwe uchagani maana yeye mwanamke haruhusiwi kulala huko!
Unajisema au? Kuna neno kuapa unamweleza mtu apa! Kuna neno watu hutamka apa wakati neno sahihi ni hapa (hapa mahala ni kuchafu). Nakereka na mtu kuondoa h katika baadhi ya maneno siku hizi mfano ivo baadala ya hivyo, ivi baadala ya hivi etcMara nyingine vizuri ukaficha ulicho nacho kichwani, pita hivi. Unakichwa kigumu huelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yako potofu mbona mimi nimealika wafanyakazi wenzangu niko nao huku saa hivi tunakula bata ina maana nimewaoa?Mwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda.
Nina ndugu zangu 4 wameoa Kilimanjaro, wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu na watu wengine ninaowafahamu ambao sio wenyeji wa Kilimanjaro ila kila inapofika mwisho wa mwaka lazima waende huko.
Hata Pascal Mayala amesema yeye kila mwisho wa mwaka huenda Moshi wakati ni Msukuma wa Kanda ya Ziwa.
Ukioa Moshi ni kama umeolewa wewe maana utapelekeshwa kama mbuzi.
Anyway, haya ni maoni yangu na mtazamo wangu, sio lazima uyapende.
Pole sana sem ulikosea wa kuoa ndio maana unawaponda na kwa wewe nnavyokujua huwezi ishi na mchaga kwanza huna helaNiliapa sitakuja kuoa Mchaga
atakutana na x boyfriend wakeSijasoma uzi. So nisipoenda wataninyang'anya mke?
Kwahiyo naww unahesabiwa auMwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda.
Nina ndugu zangu 4 wameoa Kilimanjaro, wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu na watu wengine ninaowafahamu ambao sio wenyeji wa Kilimanjaro ila kila inapofika mwisho wa mwaka lazima waende huko.
Hata Pascal Mayala amesema yeye kila mwisho wa mwaka huenda Moshi wakati ni Msukuma wa Kanda ya Ziwa.
Ukioa Moshi ni kama umeolewa wewe maana utapelekeshwa kama mbuzi.
Anyway, haya ni maoni yangu na mtazamo wangu, sio lazima uyapende.
aasee ww kama mm yaan hata kama nimempenda msichana kivp lakn nikigundua tu kwamba yy n mchagga bas najikuta upendo umeishaaaa ghafla. IN SHORT SIPO TAYARI KUFA KABLA YA MUDA.Niliapa sitakuja kuoa Mchaga
Mleta mada unaonekana hujui chochote kuhusu mila za wachaga. Katika jamii nyingi za wachaga, mwanamke akishaolewa haruhusiwi tena kurudi na kulala nyumbani kwao unless kuwe na tatizo kubwa kama msiba ndio ataweza kulala. Mwanamke anaeweza kurudi uchagani na kulala ni yule ambae hajaolewa. Kwahiyo hao unaoona wakienda uchagani ni wanaume wa kichaga ambao aidha wameoa wachaga wenzao au wameoa makabila mengine. Kamwe mwanamke wa kichaga hawezi kumchukua mume wake halafu akamlaze kwa baba mkwe uchagani maana yeye mwanamke haruhusiwi kulala huko!
Usipokuwa mjanja huwezi kuoa mchaga mzee, ni bora umejitoaNiliapa sitakuja kuoa Mchaga
Ikawaje?Niliapa sitakuja kuoa Mchaga