Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

[emoji23][emoji23][emoji23] Tunaoa wanaume wenzetu wenye viungo vya kike kuepusha kugongewa mkuu
Hapana aisee, inatakiwa ukimwangalia mkeo unajisikia raha mana n pisi na sio unaoa afu ht kumuangalia mkeo huwez ๐Ÿ˜‚
 
Si kweli, wapo wanaume wengi tu wanawachukia wake zao kwasabb ya muonekano mbovu na usiovutia
Kama kuna watu wanachukia wake zao kisa mwonekano kwanini waliamua kuwaoa si wangeoa hao wenye mwonekano!

Ukiwa unasema unataka mke asie na dosari katika uzuri wake bas ni vyema na wewe ukawa huna dorasi yani mwonekano wako usiwe na shaka ndani yake kwa jicho lakike.

Mke mzuri anamjua mumewe tu na mume mzuri anamjua mkewe tu, ukiona ulienae sio mzuri nenda kwa uyo mzuri, uyo mbaya mwache atakuja mzuri wake watulizane.
 
Uongo
 
Kukojoa ukiwa na pisi kali n tofauti ukiwa na sura ya baba aisee
Naam Nakazia sana sana sanaaaa.

Ni bora kuwa single kuliko kudate pisi mbovu ๐Ÿ˜€..

Yaaani ptuu ๐Ÿคข๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ๐Ÿคฎ hapana kwa kweli kuna wanawake ni wabovu physically acha tu Mungu nisamehe sijafa sijaumbika ila ila acha niishie hapa
 
Mtazame tu mama yako halafu mgeukie mzee wako halafu jaribu kurudi miaka 25/30 nyuma halafu jaribu kutafuta jibu la kwanini mzee alitulia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ