Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

[emoji23][emoji23][emoji23] Tunaoa wanaume wenzetu wenye viungo vya kike kuepusha kugongewa mkuu
Hapana aisee, inatakiwa ukimwangalia mkeo unajisikia raha mana n pisi na sio unaoa afu ht kumuangalia mkeo huwez 😂
 
Si kweli, wapo wanaume wengi tu wanawachukia wake zao kwasabb ya muonekano mbovu na usiovutia
Kama kuna watu wanachukia wake zao kisa mwonekano kwanini waliamua kuwaoa si wangeoa hao wenye mwonekano!

Ukiwa unasema unataka mke asie na dosari katika uzuri wake bas ni vyema na wewe ukawa huna dorasi yani mwonekano wako usiwe na shaka ndani yake kwa jicho lakike.

Mke mzuri anamjua mumewe tu na mume mzuri anamjua mkewe tu, ukiona ulienae sio mzuri nenda kwa uyo mzuri, uyo mbaya mwache atakuja mzuri wake watulizane.
 
We nyege ndo zinakusumbua.
Hayupo mwanamke mbaya wala mzuri kwa mumewe. Wewe wa nje ndo unaona huo ubaya au uzuri ila sio kwa mumewe, mme anaweza mwona mke mzuri kwa kias chake na mbaya kwa kias chake.

Nikama unavyozaa mtoto, huwezi kumwona mwanao mbaya hata siku moja atakama ni mweusi kama giza ni lazima utampenda ata ukiletewa mtoto mwingine wa kiarabu ukae nae bado utandelea kumpendelea wako.
Uongo
 
Kukojoa ukiwa na pisi kali n tofauti ukiwa na sura ya baba aisee
Naam Nakazia sana sana sanaaaa.

Ni bora kuwa single kuliko kudate pisi mbovu 😀..

Yaaani ptuu 🤢🤮🤮🤮 hapana kwa kweli kuna wanawake ni wabovu physically acha tu Mungu nisamehe sijafa sijaumbika ila ila acha niishie hapa
 
Mtazame tu mama yako halafu mgeukie mzee wako halafu jaribu kurudi miaka 25/30 nyuma halafu jaribu kutafuta jibu la kwanini mzee alitulia hapo.
 
Back
Top Bottom