Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

Mke mzuri anamjua mumewe
Uzuri ni objective, siyo subjective. Ndiyo maana kuna akina dada wanasufika kwa uzuri duniani na wengine ktk ngazi ya kitaifa.

Mwanamke magulu baja, rangi kafosi kwa mkorogo, mwonekano wa make up na nywele za saloon, tumbo kubwa kama yupo labour, ziwa kama tikiti lililokomaa, midomo mipana kama chupi la mzee, n k. Unasemaje hakuna mbaya?
 
Oa mke ambae hata wahuni wakitaka kulipiza kisasi kukugongea mkeo kama unavyowagonga wake zao ,waghairi kabisa wakimuona tu
Waghairi kwasabb ya ubaya wake ama uzuri wake?
 
Yn hua najiuliza, yn inakuwaje mwanamke anakuwa mbaya yn mwanamke unaanzaje kuwa mbaya 😂 mwanamke anatakiwa awe mzuri kwa njia halali hata haramu 😂
 
Una point ila kwenye kuiwasilisha kuna namna unashindwa.

Naunga mkono hoja.

Raha ya Mke avutie atamanishe kuna maisha nnje ya u wife material.
 
Yn hua najiuliza, yn inakuwaje mwanamke anakuwa mbaya yn mwanamke unaanzaje kuwa mbaya 😂 mwanamke anatakiwa awe mzuri kwa njia halali hata haramu 😂
Wanawake wabaya ni hawajielewi, mwanamke unakuaje mbaya na ma makeup kibao yapo madukan ma wigi marasta makila kitu na bado jitu bayaaa...

Sio useme hana hela, mingine hela ipo linaendesha gari kalii,anaishi pazuri ila nitu Bayaaa
 
Wanawake wabaya ni hawajielewi, mwanamke unakuaje mbaya na ma makeup kibao yapo madukan ma wigi marasta makila kitu na bado jitu bayaaa...

Sio useme hana hela, mingine hela ipo linaendesha gari kalii,anaishi pazuri ila nitu Bayaaa
Wafanye namna aisee, mwanamke hatakiwi kuwa mbaya, ubaya amuachie jamaa ake tuu
 
Ili swali muulize konde boy aka tembo kwa nini akipenda matako ya wanaweke anayachoka sio mda
 
endelee kuwaambia ukweli
 
Mtazame kwanza mama yako af nambie ni mzuri au ni mbaya? alafu uje uniambie ni mama wanani ni mbaya! Ndo kisha ulete habari za objective na subjective.

Nakusadia tena kijana elewa kua uzuri na ubaya wa mtu anaujua mume au mkewe huna mandate ya kucategorize watu et hawa wabaya wale wazuri as long as yupo kwa mumewe uyo ni mzuri ndo maana hajaolewa na wewe, kaolewa na mtu alie ridhiana nae na sio ajabu wewe unayejiona ni special unapaswa kua na pisi kali ukamtongoza uyo unayemwona mbaya na akakukataa asivutiwe na wewe kabisa, usipo nielewa bas labda utoto ndo utakua unakuchanganya.
 
Uzuri wa mwanamke ni matendo yake. Kama ndo hivyo wanawake wenye shepu zao na sura za mtume wangekuwa wameolewa wote. Anyway mtoa mada still inaonekana ni mvulana muda ukifika utaelewa

Ila twende mbele turudi nyuma, kuna umuhimu wa kuoa mke ambae angalau kidogo ANATAZAMIKA jamani..

Hatusemi uoe mwanamke mreembo kama malaika, ila at least awe ana ka mvuto fulani hivi.. kumbuka mwanamke ni pambo la nyumba pia, sasa akiwa havutii hata kidogo inakua shida. Mwanaume utakua hurudi nyumbani!

Kuna tudada hua tuko katikati hapo.. sio mzuri sana wala sio mbaya na wengi unakuta wame balance hata tabia zao ni za kueleweka. Hao ndio wakuoa sasa.
 
Kuna rafiki yangu kaoa pisi kali kiasi kwamba hataki hata kuchepuka, kwasabb kila nyapu anayokutana nayo anaiona haina hadhi ya kumfikia mkewe.
Dogo....
Kutokuchepuka hakuna uhusiano wowote na mwanamke kuwa pisi kali. Ndio maana utashangaa kuona wanaume wengi tu wanachepuka na wanawake wenye sura mbaya, shape mbaya na hawana hadhi yoyote kimuonekano.

Ni neema ya Mungu tu inahitajika.
Huyo jamaa yako atachepuka tu na usiache kuja kutusimulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…