- Thread starter
- #41
Uzuri ni objective, siyo subjective. Ndiyo maana kuna akina dada wanasufika kwa uzuri duniani na wengine ktk ngazi ya kitaifa.Mke mzuri anamjua mumewe
Mwanamke magulu baja, rangi kafosi kwa mkorogo, mwonekano wa make up na nywele za saloon, tumbo kubwa kama yupo labour, ziwa kama tikiti lililokomaa, midomo mipana kama chupi la mzee, n k. Unasemaje hakuna mbaya?