Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

Kwa huu muingiliano wa kijamii saivi sidhani kwa Kizazi chetu kama tunapaswa sanaa kuchagua mabinti kutokana na kabila.

Unakuta binti ni Mrufiji wa baba na mama ila kakulia Dar es salaam, what do you expect?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…