halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
Nimezaa na mmoja wa Tukuyu, nilitakaga kuoa, weeeee, nilikuja kugundua nimeyatimba. Nilitoka mbio kama gari za formula 1, ukishaona mwanamke anasema anafanya biashara ili ajenge nyumba yake wakati mnaishi pamoja, hatari, nakusihi broo kama una mnyaki wako usizime gari iache silencer, muda wowote unaweza anza safari so unarukia na kuweka gear. Ukiyakanyaga kabisa shuka hapo kyela uoe, jua na jamaa yako wa karibu naye anakunywa maji hayo hayo ya kisima chako.Nashukuru sijaona WANYAKYUSA kwenye hii orodha. Kule Mbeya tuwaitwa "WASOKILE" na akiwa mmoja 'MSOKILE". Yaani 'alitoka". Imetokana na fact kwamba kila nyumba ukiuuliza mama yuko wapi? unajibiwa "asokile", yaani aliondoka. Hawa viumbe hawakai na wanaume!! Vile unamuona GIGI Money ambaye kazaliwa Dar es Salaam na Mbeya haijui basi ndiyo viumbe hawa walivyo. wanyakyusa wengine ni kama Anti Ezekiel na Amber Lulu, wao ni kuhangaisha papa toka kwa mwanaume huyu kwenda kwa mwingine
Hata waume zao ambao wamesoma na kuoka nje wanawakwepa