Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

Nashukuru sijaona WANYAKYUSA kwenye hii orodha. Kule Mbeya tuwaitwa "WASOKILE" na akiwa mmoja 'MSOKILE". Yaani 'alitoka". Imetokana na fact kwamba kila nyumba ukiuuliza mama yuko wapi? unajibiwa "asokile", yaani aliondoka. Hawa viumbe hawakai na wanaume!! Vile unamuona GIGI Money ambaye kazaliwa Dar es Salaam na Mbeya haijui basi ndiyo viumbe hawa walivyo. wanyakyusa wengine ni kama Anti Ezekiel na Amber Lulu, wao ni kuhangaisha papa toka kwa mwanaume huyu kwenda kwa mwingine

Hata waume zao ambao wamesoma na kuoka nje wanawakwepa
 
Kuna makabila sijui yapo Tanzania kweli ?
 
Hapo kwa wameru nimekubali 🙏🙏
 
Mbona hamna wanyakyusa hapo? Tafiti batili hii😆 wanyakyusa wako vizuri pia
Nashukuru sijaona WANYAKYUSA kwenye hii orodha. Kule Mbeya tuwaitwa "WASOKILE" na akiwa mmoja 'MSOKILE". Yaani 'alitoka". Imetokana na fact kwamba kila nyumba ukiuuliza mama yuko wapi? unajibiwa "asokile", yaani aliondoka. Hawa viumbe hawakai na wanaume!! Vile unamuona GIGI Money ambaye kazaliwa Dar es Salaam na Mbeya haijui basi ndiyo viumbe hawa walivyo. wanyakyusa wengine ni kama Anti Ezekiel na Amber Lulu, wao ni kuhangaisha papa toka kwa mwanaume huyu kwenda kwa mwingine

Hata waume zao ambao wamesoma na kuoka nje wanawakwepa
 
Kwa huu muingiliano wa kijamii saivi sidhani kwa Kizazi chetu kama tunapaswa sanaa kuchagua mabinti kutokana na kabila.

Unakuta binti ni Mrufiji wa baba na mama ila kakulia Dar es salaam, what do you expect?
Una expect, KIFUATACHO ITV
 
Back
Top Bottom