Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

Shoga angu mshirazi na sasa hivi ana ndoa ya tatu🤣🤣
Oa mwenye tako ule Raha za dunia.......hayo mambo ya kuzeeka wote we unajua unakufa lini? Maisha yenyewe mafupi.
 
Kuna hao washubi tuseme ni warundi tu huwezi watofautisha na wasubi ambao ni warundi wamejazana hapo rulenge na bugarama-kabanga
 
Back
Top Bottom