Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

Nimezaa na mmoja wa Tukuyu, nilitakaga kuoa, weeeee, nilikuja kugundua nimeyatimba. Nilitoka mbio kama gari za formula 1, ukishaona mwanamke anasema anafanya biashara ili ajenge nyumba yake wakati mnaishi pamoja, hatari, nakusihi broo kama una mnyaki wako usizime gari iache silencer, muda wowote unaweza anza safari so unarukia na kuweka gear. Ukiyakanyaga kabisa shuka hapo kyela uoe, jua na jamaa yako wa karibu naye anakunywa maji hayo hayo ya kisima chako.
 
Je kabila lako lipo au tukuache kwanza?View attachment 2952128
1.Warufiji - Rufiji+Mafia ,Pwani
2.Warungi-Nkasi,Rukwa...(inasadikika limeshatokomea)

3.Warwa-halipo kwenye rekodi

4.Wasafwa-Mbeya mjini,Mbeya
-Wenye Jiji la Mbeya

5.Wasagara-Kilosa,Morogoro
-Vitukuu vya Chifu Mangungo

6.Wasandawe-Chemba,Dodoma

7.Wasegeju - Mkinga ,Tanga

8.Washirazi -Zanzibar
-Zao la wabara na Waarabu

9.Wasubi-Ngara,Kagera

10.Wasizaki-Muleba,Kagera (Limeshapotea)
 
Watu wawili watatu wasikufanye ujumuishe kabila zima bana mbona wanyakyusa kibao tu wanenjoy ndoa zao
 
Kimsingi hawafugiki hao
 
Huo ni uoga njoo uoe warangi uchangamshe akili, achana na watu ambao wamepoa hawana amsha amsha weee viipii??
😂😂😂😂Aiseee.
Nilitaka nishangae mdogoye Evelynsalt asitoe koment kali.
Hivi weye ni mrangi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…