Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Kwani Bangi au sigara inaopoandikwa ni Hatari kwa afya yako ndio inaondoa uhitaji wake mtaani?Naona single maza na malaya makahaba Wana uhitaji mkubwa sana mitaani kuliko uhalisia unaotaka kuaminishwa mitandaoni.
Single maza wanaolewa na vijiwe vya makahaba na malaya vikiongezeka kila siku na wanaume wakivitafuta kwa gharama kubwa....
Ulichukunguza vizuri ukoo wako wa baba na mama una single maza , makahaba , na malaya wa kutosha!! Kwenye ukoo wako tu au familia unayotoka umeshawahi kutoa suluhisho ya yaliyopo na yatakayokuja mbele au matokeo ya mbele???
Kwamba kwenye ukoo WA mtu kukiwa na Kahaba au single mother kutokana na Tabia za kukosa uadilifu kwa mwanamke huyo au kijana aliyemzalisha ndio kuwafunge watu mdomo kuelezea Jambo hilo?
Inshu ya malezi kutoa kizazi kilicho bora yapasa uwekezaji na kujitoa kiroho na kimwili na pesa kwa wazazi husika kupata kilicho bora japo inategemea na asili ya huo ukoo....
Unaposema asili ya huo ukoo unazungumzia Jambo gani?
Maana Mada inazungumzia kitu kama hicho
Kuna malaya mmoja Yuko tinde mtoto wake ni daktari bingwa muhimbili na nyumba yake kapanga meneja wa kituo cha mzani tinde unaniambiaje hapo......
Mtoto kuwa Daktari au Mwalimu au Mfamasia hakumfanyi mtu kuwa muadilifu.
Kuna watu ni Makahaba na wapo maofisi ya Heshima tena wengine na wachungaji
Kuna jambazi mmoja kisusi alikamatwa kwa kuiba gari ya voda na akakaa jela miaka kumi na tano mkewe akawa malaya mbwa lakini nina hakika watoto wake huwafikiii hata robo ya hapo ulipo!!!
Niishie hapo.
Mada zisitolewe kimihemuko zaidi wakati kwenye ukoo wako na familia matatizo yanazidi uliyoandika hapa.
Nimekuambia, hakuna sababu ya maana mtu kuwa Kahaba.
Huyo aliyefanya ukahaba Kisa mumewe kaenda Jela alikuwa Kahaba tangu mumewe hajafungwa.
Wanawake wangapi waume Zao wamefungwa na sio Makahaba?
Wanawake wangapi wametoka familia maskini, wanamaisha magumu na wanafanya Kazi halali zinazowapa kipato hata kama ni kidogo na bado wamekataa kuwa Makahaba?
Nazungumzia ukahaba, kuhusu kuwapata watoto wa Makahaba sijui unazungumzia kuwapata kwa namna gani.