MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huyu mpuuzi kuna muda huwa anaandika ujinga.Sasa mbona mnapowasema wanawake wa kizazi hiki huwa mnatumia bibi zetu kama reference kana kwamba wao walikuwa perfect, kumbe mnajua kwamba tofauti ya kizazi kile na cha sasa ni uhuru na uwazi tu na si tabia wala hulka, suala la kusema kwamba hao watu unaowaita exceptional ni wachache si kweli bali wapo wengi sana tu