Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Huna la kuwashauri vijana kuhusu haya mambo.
Wewe endelea tu kuishi na mke wako; Kama ambavyo wengine wametulia.
Vijana wa siku hizi sio wajinga kama unavyo dhani.
Usilazimishe ujinga kwenye vichwa vya watu.
Kwamba ukweli wa kuwa Maji hufuata Mkondo ndio vijana wa siku hizi wanaukataa?
Hata Mzee wako anajua hili nilichoandika. Wewe bado ni mtoto, UPEO wa AKILI yako bado haujakomaa.
Watu wazima wanajua Jambo hili vizuri Sana.
Hakuna Jambo lolote Duniani linalotokea kwa dharura au bahati Mbaya.