Ukioa Malaya/mdangaji kuzaa mabinti Malaya hakuepukiki ni uhakika

Huna la kuwashauri vijana kuhusu haya mambo.

Wewe endelea tu kuishi na mke wako; Kama ambavyo wengine wametulia.

Vijana wa siku hizi sio wajinga kama unavyo dhani.

Usilazimishe ujinga kwenye vichwa vya watu.

Kwamba ukweli wa kuwa Maji hufuata Mkondo ndio vijana wa siku hizi wanaukataa?

Hata Mzee wako anajua hili nilichoandika. Wewe bado ni mtoto, UPEO wa AKILI yako bado haujakomaa.

Watu wazima wanajua Jambo hili vizuri Sana.

Hakuna Jambo lolote Duniani linalotokea kwa dharura au bahati Mbaya.
 
Binti anaweza kujifunza tabia mbaya kwa kushawishiwa na wenzake shuleni,chuoni. Na anaweza kukataa pia kutokana na akili yake itakavyo amua.

Acha mada za ajabu bro.
 
Binti anaweza kujifunza tabia mbaya kwa kushawishiwa na wenzake shuleni,chuoni. Na anaweza kukataa pia kutokana na akili yake itakavyo amua.

Acha mada za ajabu bro.

Hakuna kitu kama hicho.
Mtu hujaribiwa kwa tamaa yake na sio vinginevyo
Kama huna Tabia ya ukahaba huwezi jaribiwa na mambo ya kikahaba.

Acha kufikiri kiajabuajabu.

Kama ukijua mambo ya ID, Ego na superego utaelewa kinachojadiliwa.

Wewe uliwahi kuona Paka akategewa Makande kama chambo kwenye Mtego?

Watu wamekulia kwa Wahuni na bado hawajawahi Wahuni, na wapo waliokulia kwa watakatifu lakini wakawa Wahuni.
 
Na mabinti wengi wanaojiuza ni wale waliosoma masomo ya sanaa.

Wasichana waliosoma/wanaosoma kozi za afya hawafanyi hivyo.

Wanaogopa magonjwa.
 
Unadhani kujiuza ni jambo rahisi eeh.
Ni rahisi kwa watu waliosoma masomo ya sanaa.
 
Na mabinti wengi wanaojiuza ni wale waliosoma masomo ya sanaa.

Wasichana waliosoma/wanaosoma kozi za afya hawafanyi hivyo.

Wanaogopa magonjwa.

Unaona unavyokosea.

Kahaba anaweza kuwa mwanamke yeyote. Aliyesoma au ambaye hakusoma
Mzuri au asiye na mvuto.
Mzungu au muafrika.

Unachoshindwa kuelewa ni kuwa, ukahaba unaotokea ndani haufikirii kuhusu Magonjwa.

Mwanamke ambaye hafanyi ukahaba ni Yule anayeona ni kujidhalilisha na kujivunia heshima kama mwanamke.

Magonjwa sio sehemu ya kumzuia mtu asifanye ukahaba.
 
Unadhani kujiuza ni jambo rahisi eeh.
Ni rahisi kwa watu waliosoma masomo ya sanaa.

Upo Dunia ipi Mkuu?

Binadamu yeyote asiyejiheshimu anaweza kujiuza Muda wowote tuu.
Haihusiani na elimu wala nafasi au hadhi.

Nashangaa wanaosema sijui wachungaji sijui Nani. Kwani hao ni kina Nani?
Mtu yeyote asipojiheshimu huweza kufanya lolote
 
Kujua ugonjwa na kujua madhara yake kiundani; ni vitu viwili tofauti.

Ndiyo mana kuna watu wanauchukulia poa UKIMWI.
 
Upo Dunia ipi Mkuu?

Binadamu yeyote asiyejiheshimu anaweza kujiuza Muda wowote tuu.
Haihusiani na elimu wala nafasi au hadhi.

Nashangaa wanaosema sijui wachungaji sijui Nani. Kwani hao ni kina Nani?
Mtu yeyote asipojiheshimu huweza kufanya lolote
Hakuna kitu Kama hicho, nimekuambia acha kulazimisha ujinga wako.
 
Upo Dunia ipi Mkuu?

Binadamu yeyote asiyejiheshimu anaweza kujiuza Muda wowote tuu.
Haihusiani na elimu wala nafasi au hadhi.

Nashangaa wanaosema sijui wachungaji sijui Nani. Kwani hao ni kina Nani?
Mtu yeyote asipojiheshimu huweza kufanya lolote
Uhai wa mtu una thamani kuliko kitu chochote. Ndiyo mana mtu yupo tayari kutoa hela ili asiuawe.
Msichana anayejiuza ni mjinga tu. Hakuna sababu nyingine.
 
Uhai wa mtu una thamani kuliko kitu chochote. Ndiyo mana mtu yupo tayari kutoa hela ili asiuawe.
Msichana anayejiuza ni mjinga tu. Hakuna sababu nyingine.

Kinachofanya uhai wa binadamu uwe na thamani ni UTU wake.
Mtu akashaamua kujiuza UTU wake unategemea nini?
 
Sasa mbona mnapowasema wanawake wa kizazi hiki huwa mnatumia bibi zetu kama reference kana kwamba wao walikuwa perfect, kumbe mnajua kwamba tofauti ya kizazi kile na cha sasa ni uhuru na uwazi tu na si tabia wala hulka, suala la kusema kwamba hao watu unaowaita exceptional ni wachache si kweli bali wapo wengi sana tu
 
Ukishasema exceptional hawawezi kuwa watu wengi.

Wanaosema hivyo sio Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…