Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmbwaaHaya ni mawazo ya kipumbavu ya vijana waliochezewa makalio na mapadri akili zao zinawaza ujinga.
Sasa kama wewe unaakili, iweje uwakejeli viongozi wa kiroho. Nikisema mchungaji wako au shekhe wako ni mojawapo ya watu wasio na marinda unajisikiaje?Haya ni mawazo ya kipumbavu ya vijana waliochezewa makalio na mapadri akili zao zinawaza ujinga.
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.
Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.
Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.
Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.
Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.
Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.
Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.
Wengi wao ni wanafki. Wachagua dhambiNa mama yangu aliniambia ni Heri nioe muislamu kuliko mlokole au msabato au shahidi wa Yehova
vip yule pedophilia wenu yuleHaya ni mawazo ya kipumbavu ya vijana waliochezewa makalio na mapadri akili zao zinawaza ujinga.
Dini yako haijakusaidia, bado unatakiwa upate elimuWaislamu watashangaa mtu kuacha uislamu na kuwa "kafiri ".
Watakupingaaa ilaaaa huo ndio ukwelii, wapende wasipende ndio ukweli,Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.
Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.
Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.
Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.
Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.
Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.
Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.
Ww utakuwa mlei muaminifu 😂😂😂MTUACHIE WANAWAKE WETU WANATUTOSHELEZA SISI TU
WAWATA WAKO KWA AJILI YA UWAKA TU
"Tokeni kwake enyi watu wangu"It's very unfortunate madhehebu mengi ya kikikristo yanapambana na kanisa Katoliki. Madhehebu yote ya kikristu ni zao la Kanisa mama Katoliki. Na yaliyojimega yakaenda jimega tena na tena. Kutokana na sababu mbalimbali.
1. Mf. Anglican Church ilijimega miaka 1860s. Chanzo: Mfalme wa England alitaka kubatilisha ndoa ya mwanzo afungishwe ndoa nyingine. Kiongozi wa kanisa katoliki akala msimamo wa kuwa hairuhusiwi. Mfalme wa England akaamuru kanisa kujitenga na uongozi wa papa wakatengeneza miongozo yao.
2. Rutheran Church miaka ya 1,500's.
Martin Ruther alikuwa mtawa wa St. Augustine msomi na mwalimu.
Chanzo: Nikutokubaliana na baadhi ya matendo yalikiwa yakifanyika na baadhi ya viongozi wa kanisa katoliki. Akaandikiwa barua ya kuwa ex communicated, akamuoa sister akaanzisha movement za reforms.
3. Orthodox Church mwaka nimesahau ila ni nyuma sana.
Madhehebu mengi ya Kiprotestant yaliendelea kujimega na kujimega tena hadi hivi leo kama tunavyoshuhudia