Ukioa mke mkirsto mkatoliki una asilimia nyingi za kuwa na familia yenye furaha na mafanikio

Mkioana wa imani moja ndiyo the best

Kwingine kote ni kubahatisha tuongee ukweli kwa yeyote anaejihisi ana wito wa kuanzisha familia vizuri sana na salama sana kwake akampata wa kufanana nae,na tunao kwenye nyumba zetu za ibada huko huko tuchaguane.
 
Haya ni mawazo ya kipumbavu ya vijana waliochezewa makalio na mapadri akili zao zinawaza ujinga.
Sasa kama wewe unaakili, iweje uwakejeli viongozi wa kiroho. Nikisema mchungaji wako au shekhe wako ni mojawapo ya watu wasio na marinda unajisikiaje?

Kama hoja yake ni ya kipumbavu onyesha upumbavu wake na sio kukashifu viongozi wa dini. Maana viongozi hapo hawahusiki na hoja aliyeleta hapa.

Nakutaka uombe radhi
 
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.

Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.

Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.

Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.

Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.

Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.

Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.

Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.

Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.

Ushauri:

Msifie Mama yako na Baba yako, sio ukatoliki.

Ingawa ujamuongelea Baba kwa Wema, ila kachangia sana Mama kuwa na amani na ukatoliki wake, hizi ndoa ni nyoko sana dogo.
 
Tatizo tunaokoment hapa hii ishu wengi tumeichukulia kwa ubinafsi sana lakini kama mtu utaisoma nje ya boksi la dini ina ujumbe wake.

Tuache mihemko tuwe kama watu wazima hakuna sehemu pale main post mleta mada aliposema watu mkabadilishe dini zenu
 
It's very unfortunate madhehebu mengi ya kikikristo yanapambana na kanisa Katoliki. Madhehebu yote ya kikristu ni zao la Kanisa mama Katoliki. Na yaliyojimega yakaenda jimega tena na tena. Kutokana na sababu mbalimbali.
1. Mf. Anglican Church ilijimega miaka 1860s. Chanzo: Mfalme wa England alitaka kubatilisha ndoa ya mwanzo afungishwe ndoa nyingine. Kiongozi wa kanisa katoliki akala msimamo wa kuwa hairuhusiwi. Mfalme wa England akaamuru kanisa kujitenga na uongozi wa papa wakatengeneza miongozo yao.
2. Rutheran Church miaka ya 1,500's.
Martin Ruther alikuwa mtawa wa St. Augustine msomi na mwalimu.
Chanzo: Nikutokubaliana na baadhi ya matendo yalikiwa yakifanyika na baadhi ya viongozi wa kanisa katoliki. Akaandikiwa barua ya kuwa ex communicated, akamuoa sister akaanzisha movement za reforms.
3. Orthodox Church mwaka nimesahau ila ni nyuma sana.
Madhehebu mengi ya Kiprotestant yaliendelea kujimega na kujimega tena hadi hivi leo kama tunavyoshuhudia
 
Nakuelewa bro
Katika maisha ya mwanadamu yoyote wazazi au walezi uwa wanaeffect kubwa iwe positive au negative coz wanaplay role kubwa kwny maisha yetu
Mitazano na misimamo ya watu wengi inatokana na wazazi wetu mfano imani zetu , kuna watu awatak kusikia neno ndoa ni kwa sababu ya kile alichokion kwny maish ya wazazi na huyu anaamini kwa uwa ameon mfano zuri kwa wazazi wake
Kuna mwingin anaamin kwny biashara na wengn kweny kuajiliwa
 
Wakatoliki na wasabato ni watu wa utaratibu usiobadilika, so yeah kuna ukweli fulani juu ya aina ya familia wanazotengeneza.

Naunga mkono hoja, japo mimi si mkatoliki.
 
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.

Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.

Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.

Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.

Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.

Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.

Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.

Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.

Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.
Watakupingaaa ilaaaa huo ndio ukwelii, wapende wasipende ndio ukweli,
Ujumbe huu tuweke kwenye vibaoo vyoteeee.
 
Hujakosea wanawake wa kikatoliki hata ndoa zao kuvunjika adimu sana.
 
Amani inapatikana pale tu utakapoamua kuwa bwege na kufuata imani ya mke. Ila ukikaza hakutakua na amani. Ndo maana Baba yako alikubali yaishe akaingia kanisani na sio kukaza watoto mumfate msikitini
 
It's very unfortunate madhehebu mengi ya kikikristo yanapambana na kanisa Katoliki. Madhehebu yote ya kikristu ni zao la Kanisa mama Katoliki. Na yaliyojimega yakaenda jimega tena na tena. Kutokana na sababu mbalimbali.
1. Mf. Anglican Church ilijimega miaka 1860s. Chanzo: Mfalme wa England alitaka kubatilisha ndoa ya mwanzo afungishwe ndoa nyingine. Kiongozi wa kanisa katoliki akala msimamo wa kuwa hairuhusiwi. Mfalme wa England akaamuru kanisa kujitenga na uongozi wa papa wakatengeneza miongozo yao.
2. Rutheran Church miaka ya 1,500's.
Martin Ruther alikuwa mtawa wa St. Augustine msomi na mwalimu.
Chanzo: Nikutokubaliana na baadhi ya matendo yalikiwa yakifanyika na baadhi ya viongozi wa kanisa katoliki. Akaandikiwa barua ya kuwa ex communicated, akamuoa sister akaanzisha movement za reforms.
3. Orthodox Church mwaka nimesahau ila ni nyuma sana.
Madhehebu mengi ya Kiprotestant yaliendelea kujimega na kujimega tena hadi hivi leo kama tunavyoshuhudia
"Tokeni kwake enyi watu wangu"
 
Back
Top Bottom