tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Ndoa ni kuzaliana...Wapenda mbunye hawawezi kuelewa ubaya wa ndoa.
Wanafikiri ndoa ni kula MBUNYE tu.
Unapewa MBUNYE kwa malipo ya mateso ya milele.
Ni kama draft, unakula kidogo halafu UNABAMIZWA NA KINGI. 🤣🤣
Cc: ndege JOHN Kalpana Extrovert Mbaga Jr
Kalpana una watoto wangapi?Ndoa ni kuzaliana...
Nizalie na mimi mmoja.Kalpana una watoto wangapi?
Mimi nina wawili. Mwakani naongeza kamoja ka mwisho halafu nafunga kizazi.
Dokta aliniambia tumbo langu la uzazi ni bichi sana, bado lina nguvu lakini itabidi nilifunge tu shosti... sio kwa UCHUMI HUU.
Uchumi umevurugika. Uchumi chakaramu.
Uchumi unafoka, we kuweza?
Ha ha haWapenda mbunye hawawezi kuelewa ubaya wa ndoa.
Wanafikiri ndoa ni kula MBUNYE tu.
Unapewa MBUNYE kwa malipo ya mateso ya milele.
Ni kama draft, unakula kidogo halafu UNABAMIZWA NA KINGI. 🤣🤣
Cc: ndege JOHN Kalpana Extrovert Mbaga Jr
Nina watoto 5 mpendwa...nataka niongeze mmoja wa 6 wa mwisho...au unanishaurije? Nibaki na hawa hawa? Watoto ni baraka BichwaKalpana una watoto wangapi?
Mimi nina wawili. Mwakani naongeza kamoja ka mwisho halafu nafunga kizazi.
Dokta aliniambia tumbo langu la uzazi ni bichi sana, bado lina nguvu lakini itabidi nilifunge tu shosti... sio kwa UCHUMI HUU.
Uchumi umevurugika. Uchumi chakaramu.
Uchumi unafoka, we kuweza?
Cc: Extrovert unajikuta papuchi ina nyege lakini uchumi unafoka.
Kalpana Avatar yako imenichanganyaNdoa yenu ni nyie vile mnataka iwe...mkiendeshwa na ndoa za instagram na tiktok utaona ndoa yako ni mbaya
Halafu muwe mnaomba Mungu awape wake sahihi kabla hamjaoa..
Eneo lipi mkuuKalpana Avatar yako imenichanganya
Shosti we ongeza tu kama mbunye bado imara.Nina watoto 5 mpendwa...nataka niongeze mmoja wa 6 wa mwisho...au unanishaurije? Nibaki na hawa hawa? Watoto ni baraka Bichwa