Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

Unaoa mwanamke hana bikira katembeza hadi basi anajua kila size ya mtarimbo hadi na rangi zake utegemee nini?

Wengine wanaoa barmed kabisa unakaa unajiuliza maswali mengi sana lakini ndo hivyo.

Binafis kipindi sijaoa sikuwa vibaya sana ila nilipo oa tu nikapata kazi ambayo hata sikuisomea nikawa mshahara mkubwa kuliko hata wakubwa zangu.

Yaani siku na sign mkataba ndoa imebakiza siku4 tu!

Na baada ya ku sign nikaomba ruhusa Hr akaniambia huyo mwanamke usimwache kabisa bro.(japo hii sio warrant iwapo akiyakanyaga atasepa tu)

Nikanunua kiwanja na kujenga ...nikajenga tena.

Ufugaji wa kuku ukastawi mara 3 zaidi!

Kilimo kikakubali.

Na mengine mengi. Hivyo kwangu ndoa imeleta Neema tele.
 
Namshukuru MUNGU.
Tangu nimeoa nimepata baraka nyingi sana na ninatamani wengine nao wazipate kama mimi. Leo hii nimeweza kufanya mambo makubwa ambayo sikuwahi ku imagine naweza kuyafanya au hata kuyafikia. Hakika ndoa ni muunganiko wa baraka.
Mkuu nipasie mdogo ake na mkeo na mimi nipate jiko
 
Ukitaka kwenda ukweni mkuu nistue nikusindikize, nipo tu apa nyankumbu
 
Kalpana una watoto wangapi?

Mimi nina wawili. Mwakani naongeza kamoja ka mwisho halafu nafunga kizazi.

Dokta aliniambia tumbo langu la uzazi ni bichi sana, bado lina nguvu lakini itabidi nilifunge tu shosti... sio kwa UCHUMI HUU.

Uchumi umevurugika. Uchumi chakaramu.

Uchumi unafoka, we kuweza?

Cc: Extrovert unajikuta papuchi ina nyege lakini uchumi unafoka.
Uchumi Mazafaka 🙂
 
Wapenda mbunye hawawezi kuelewa ubaya wa ndoa.

Wanafikiri ndoa ni kula MBUNYE tu.

Unapewa MBUNYE kwa malipo ya mateso ya milele.

Ni kama draft, unakula kidogo halafu UNABAMIZWA NA KINGI. 🤣🤣

Cc: ndege JOHN Kalpana Extrovert Mbaga Jr
Kizabzabio cha mzabzab DIVISHENI FOO

1754407391756~2.jpg
 
Nimeoa takribani miaka minne hivi ilio pita. Kabla sijaoa sikua na kipato imara, nilikua nimepanga chumba kimoja self, na sikua na uchumi imara.
Baada ya kuoa, nilipata kipato imara, tumejenga nyumba kadhaa na maendeleo mengine mengi. Pia furaha na maana ya maisha imeongezeka zaidi.
My two cents ni ndoa na mtu sahihi huongeza zaidi mafanikio katika nyanja zote.
 
Ndoa za silent zinaongoza Kwa kudumu hizi za mbwembwe zimetengeneza uadui n migogoro isiyoisha.
 
A real man does not fear problems
A real man loves problem
A real man solves problems
A real man learn to live with problems

If you think that one day you will live without problems then you are fooling your self
Problems are everywhere

If you dont like problems then forget about sucess

You can not avoid problems,
Problems are every where in this world

If you can not solve your own problems forget about becoming a great person in this world
 
You will always see, find what you want,
You attract what you think, unconscious ly?
Ndoa nzuri zipo,
Samwel Sita alioa,akawa spika wa bunge, kikwete alioa, akawa Rais, Maghu alioa akawa Rais, Mandela, samora, wote walioa!
Sio kila ndoa, inadumu! Lakini zipo nzuri!
 
Namshukuru MUNGU.
Tangu nimeoa nimepata baraka nyingi sana na ninatamani wengine nao wazipate kama mimi. Leo hii nimeweza kufanya mambo makubwa ambayo sikuwahi ku imagine naweza kuyafanya au hata kuyafikia. Hakika ndoa ni muunganiko wa baraka.
Aaahaaa

Hongera mkuu
 
1.MuNGU
2.MUNGU
3.MUNGU
Kuna WATU NDOA wameipatia SANA na wame move on SANA na Kuna wengine maskini ya mungu daaaah. Maisha fumbo la mjinga. Huwezi amini NDOA imewapeleka KWENYE KIFO, magonjwa na mateso ya kudumu. Kosa huwa linaanza KWENYE KUKOSEA kuoa, heri ubaki SINGO. USHA wahi SIKIA MTU ANADAI MKE WA NDOA akitaka muingilia analipia PESA kwanza?

Kwishaaaaa
 
Back
Top Bottom