Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

Ukioa mawazo ya kutafuta pesa yanazidi

Akili inafunguka hpa nipo kwenye nawaza hii biashara ninotaka kuifanya saivi kwa siku nitaingiza 150k kwa mtaji wa laki 6
 
Ndoa kwa mwanaume ni Stability/familia, ila kwa mwanamke ni kusitirika/fursa. Ndiyo maana ni wanawake wachache (sana) watakupenda au ataendelea kuwa na wewe pindi unapokua hauna kitu
Ndoa ni utapeli
 
Moja ya kitu kimenishinda kwenye haya maisha ni kuoa, sijawahi kujua sijui ni kwa nini! Ndugu na jamaa wamepiga kelele mpaka wameamua kuniacha kama nilivyo.
 
Hii taasisi ipo kwenye changamoto sana kuliko taasisi zote ulimwenguni.
 
Unaoa mwanamke hana bikira katembeza hadi basi anajua kila size ya mtarimbo hadi na rangi zake utegemee nini?

Wengine wanaoa barmed kabisa unakaa unajiuliza maswali mengi sana lakini ndo hivyo.

Binafis kipindi sijaoa sikuwa vibaya sana ila nilipo oa tu nikapata kazi ambayo hata sikuisomea nikawa mshahara mkubwa kuliko hata wakubwa zangu.

Yaani siku na sign mkataba ndoa imebakiza siku4 tu!

Na baada ya ku sign nikaomba ruhusa Hr akaniambia huyo mwanamke usimwache kabisa bro.(japo hii sio warrant iwapo akiyakanyaga atasepa tu)

Nikanunua kiwanja na kujenga ...nikajenga tena.

Ufugaji wa kuku ukastawi mara 3 zaidi!

Kilimo kikakubali.

Na mengine mengi. Hivyo kwangu ndoa imeleta Neema tele.
Hapo kismart safi
 
Sio kweli.
Mimi maisha yangu yamekuwa bora zaidi baada ya kuoa.
NIlifanya kazi kwa miaka 6 bila kuwa hata na kiwanja ila baada ya kuoa tu, ndani ya mwaka mmoja nikapata kiwanja na kuanza ujenzi.
 
Back
Top Bottom