Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

Ndoa ni kama kamari tuu, kuna wanaopiga na kupigwa, nimeoa mara mbili, ya kwanza was a disaster na kila nikikumbuka ni maumivu matupu, ya pili ni neema tupu
 
Kwa kweli mm nilipooa vitu vingi +ve nimepata
1. Ununuzi wa assets
2. Kukamilisha ujenzi
3. Kupunguza tungi kwa asilimia kubwa maana ningeweza kunywa siku 3 bila kupumzika, lakini sasa unywaji ni weekend tu tena kwa kiasi.
4. Kupunguza kuchakata
Kwa hiyo mkuu usingeoa usingeweza kununua asset wala kumaliza ujenzi?!
Ivi wewe elimu imekusaidia nini?
 
Wengi hawana elimu za mambo ya kiroho thus ndoa uvunjika
Men,

Hierarchy of Marriage

- Man loves wife

- Wife loves man's children

- Children love childhood

In return:

- Children honour mother & father

- Wife respects Man

- Man adores God

Women don't love men. They respect.

You can't love what is above.

#Masculinitywednesday
 
Ndoa ni nzuri ukisimuliwa na watu wengine, lakini kiuhalisia hayo wanayosimulia ni mambo ya kawaida ambayo hata wasiokuwa na ndoa wanayapata tu na wametulia tu.
mkuu wewe ni bonge la genius, ulichokisema ndiyo ukweli mtupu
 
Ndiyo maana kuna kiapo cha ndoa!
Katika raha na shida,mabonde na milima,katika dhiki,taabu,magonjwa,maudhi tutakuwa pamoja mpaka kifo kitakapotutenganisha.
Ndoa siyo mchezo!
 
Ndoa ni nzuri ukisimuliwa na watu wengine, lakini kiuhalisia hayo wanayosimulia ni mambo ya kawaida ambayo hata wasiokuwa na ndoa wanayapata tu na wametulia tu.
Nilishuhudia JAMAA akitukanwa na MKE wake stand TENA KWA nguvu maskini SIJUI walikua wamekorofishana NIN, YANI kama stendi mnazinguana hivo JE nyumbani?




Kwishaaaa
 
Ndoa ni watu wazima wawili walioamua kuishi kama mtu mmoja...

Ili hilo litokee lazima muda wote awepo wa kujishusha na hilo likishindikana basi shida huanzia hapo...
Hii n sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom