Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Sawq mkuu nichek inbox saa11 nitakuwa mitaa ya solanyiwa badae tuende mahali tulivuNgoja nirukie daladala ya baiskeli nije chap, nipate mchongo wa kilimo cha nyanya na ubagheshi
UNataka mke mwenye sifa zipi ?Mkuu nipasie mdogo ake na mkeo na mimi nipate jiko
1. BikraUNataka mke mwenye sifa zipi ?
Mdogo mtu ana degree ya uchumi1. Bikra
2. Asiwe mrefu wala mfupi
3. Rangi yoyote
4. Asiwe chibonge(awe kati)
5. Elimu form four kurudi chini
Kama ni bikra siyo mbaya niunganisheMdogo mtu ana degree ya uchumi
Achana naye. Tafuta school drop out.Kama ni bikra siyo mbaya niunganishe
📌Achana naye
Kwa hiyo mkuu usingeoa usingeweza kununua asset wala kumaliza ujenzi?!Kwa kweli mm nilipooa vitu vingi +ve nimepata
1. Ununuzi wa assets
2. Kukamilisha ujenzi
3. Kupunguza tungi kwa asilimia kubwa maana ningeweza kunywa siku 3 bila kupumzika, lakini sasa unywaji ni weekend tu tena kwa kiasi.
4. Kupunguza kuchakata
Men,Wengi hawana elimu za mambo ya kiroho thus ndoa uvunjika
DefinitelyKwa hiyo mkuu usingeoa usingeweza kununua asset wala kumaliza ujenzi?!
Ivi wewe elimu imekusaidia nini?
mkuu wewe ni bonge la genius, ulichokisema ndiyo ukweli mtupuNdoa ni nzuri ukisimuliwa na watu wengine, lakini kiuhalisia hayo wanayosimulia ni mambo ya kawaida ambayo hata wasiokuwa na ndoa wanayapata tu na wametulia tu.
Nilishuhudia JAMAA akitukanwa na MKE wake stand TENA KWA nguvu maskini SIJUI walikua wamekorofishana NIN, YANI kama stendi mnazinguana hivo JE nyumbani?Ndoa ni nzuri ukisimuliwa na watu wengine, lakini kiuhalisia hayo wanayosimulia ni mambo ya kawaida ambayo hata wasiokuwa na ndoa wanayapata tu na wametulia tu.
Hii n sahihi kabisaNdoa ni watu wazima wawili walioamua kuishi kama mtu mmoja...
Ili hilo litokee lazima muda wote awepo wa kujishusha na hilo likishindikana basi shida huanzia hapo...
Ww si ndo ulolalamika kua unaumia dada zako kuzalia nyumbani au nimekosea?Ndo ni mdhabau ya migogoro by Freid Ngajiro (Vunja Bei ) don't marry
Ahaaa MkuuWw si ndo ulolalamika kua unaumia dada zako kuzalia nyumbani au nimekosea?
Pia unaweza kufunguriwa mirango ya utafutajiHili jambo lina uhalisia gani mliotutangulia?
View attachment 3433578
Soma pia: Ndoa nyingi za vijana waliovuka 30 hazidumu kwasababu ya msukumo, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno.