Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Huyu kavaa pete ambayo ni pete ya mtu aliye kufa ameiacha itakuwa ni Pete ya shetani sasa kidole kimetoka hatari usivae pete ya mtu
mwengine unaweza kupata shida kama hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kinachookotwa burePete ni agano.
Vitu vizuri havipatikani kwa kuokotwa bali vinanunuliwa.
Maskini ndio hurogwa zaidi, kwasababu huamini zaidi kwenye bahati/miujiza badala ya kuhangaika kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa ili wapate vitu vizuri.
Bure ni gharama kubwa sanaHakuna kinachookotwa bure
Nataka niokote pete.Kuna Dada aliokota pete sokoni akawa anaiva,vimbwanga alivyokutana navyo aliomba poo. Mara akute pete ipo mezani kwake,mara sehemu alipoiweka imehama.
nenda maeneo ya makaburı utaokoTa pete uwe kila wakati unakwenda utaokota pete na uivae mkononi kwa majaribio.Nataka niokote pete.
Amen Amen AmenLAKINI TAMBUENI YESU KRISTO NI YEYE YULE JANA NA HATA MILELE
Sasa kama una maumbo ya marehemu lemutuz c itakuwa inamvuka kutokana na maelezo wa walichokutana nachoKuna ile Bangili huwa wanavishwa Wanaume wenye Maumbile marefu ya sehemu za siri AKA "Wasukuma Kizazi" na wao ukiiba Bangili zao ukavaa unakuwa hivi?
Mhh! Nilijaribu ile ya Blodmeli kwa muda wa siku 41 lakini sikufanikiwa.nenda maeneo ya makaburı utaokoTa pete uwe kila wakati unakwenda utaokota pete na uivae mkononi kwa majaribio.