Ukiokota Pete yoyote Njiani Tafadhali usije Kuivaa itakuletea madhara mwilini mwako

Ukiokota Pete yoyote Njiani Tafadhali usije Kuivaa itakuletea madhara mwilini mwako

Nataka na mimi niwe mganga wa jadi, nimegundua kuna hela.
😬😬, kuna uganga wa aina nne:

1. Unapewa na Mizimu

2. Wa kununua kutoka kwa waganga wakubwa

3. Wa kurithi kutoka kwa baba/mama/babu/bibi aliye zeeka hivyo anakuachia mikoba

4. Uganga jina/tapeli wa mjini

• Nahisi uganga namba 2 na nama 4, unakufaa zaidi
 
Pete ni agano.
Vitu vizuri havipatikani kwa kuokotwa bali vinanunuliwa.
Maskini ndio hurogwa zaidi, kwasababu huamini zaidi kwenye bahati/miujiza badala ya kuhangaika kwa kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa ili wapate vitu vizuri.
Sasa na vipi mtu akiokota na kuuza,
Aliyenunua si atapata madhara pia.
 
Mimi nilisha wahi kuokota Pete kama hiyo. Kwenye picha ila ilikuwa na kitu chekundu katika ili ni sumbua sana then ikapoteaga yenyewe.
 
Mimi nilisha wahi kuokota Pete kama hiyo. Kwenye picha ila ilikuwa na kitu chekundu katika ili ni sumbua sana then ikapoteaga yenyewe.
Ilikuwa pete ya pepo aka jini una bahati hakukupenda angeli kupenda ungelipata tabu na shida sana na asingekuacha hata kidogo.
 
Wachawi watakujaribu na wakigundua we ni magumashi watakuua
Wachawi wa wapi, wale wanaopaa na ungo au wanaoingia ndani kupitia kona za nyumba, ama ni wale wanaojigeuza paka na bundi?

Ndugu yangu, kuamini kuna wachawi karne ya 21 ni fedheha.

Wewe huoni aibu?

Are you not ashamed of yourself?
 
Wachawi wametajwa katika vitabu vyote vya dini kuwa wapo wachawi na watakuwepo mpaka mwisho wa dunia. Ukiamini sawa usipo amini pia sawa. Ngojea yakukute ndipo utakapo amini kuwa uchawi upo na wachawi wana nguvu za kumroga mtu yoyote yule wanaye mtaka.
 
Back
Top Bottom