Ukiokota Pete yoyote Njiani Tafadhali usije Kuivaa itakuletea madhara mwilini mwako

Mhh! Nilijaribu ile ya Blodmeli kwa muda wa siku 41 lakini sikufanikiwa.
Mkuu ulikosea labda jinsi ya kumuita huyo jini wa mdoli nyumbani kwako fanya nunuwa mdoli mpya kisha uweke nyumbani kwako kila siku ushike mkononi na kutamka haya maneno kwa siku 41 utaona atabadilika kuw ani jini. sema hivi hku umemshika mdoli wako.'wewe blodmeli nibadilishie kinyago hiki''

JE UNAJUA KUWA MIDOLI UNAYOIJAZA NYUMBANI KWAKO INA MAJINI NDANI YAKE?​

Natumai uko salama ndugu msomaji na leo nataka nikujuze kuhusu midoli ambayo wengi huipenda kuwanunulia watoto wao,au kuijaza ndani kama mapambo

kwanza kabisa ndiyo maana hata mjumbe wa Mwneyez Mungu Mtume Muhammad s.a.w alikataza watu wasiweke midoli majumbani mwao pana hekima kubwa sana hapa isiyojulikana'

Mapepo/majini wao ni roho ambazo zinaweza kujigeuza na kuingia kwenye mwili wowote wanaoupenda na ndyo maana binadamu wengi pia huingiwa na majini hao,sasa miongoni mwa vitu ambayo majini hupenda kuingia kwenye maumbo hayo ni midoli, mapepo hupenda kukaa ndani ya misanamu na kufanya huo kama mwili na makazi yake.

ukitaka kuamini haya ninayoyasema kwa kujionea mweneyewe kwa macho yako fanya hivi

uwe unachukua mdoli wako na uwe unaliambia maneno haya huku unalitazama kwenye macho yake kwa siku41 mfululizo utaona maajabu makubwa sana na usije ukashangaa unaihama nyumba kwa hofu.

sema maneno haya ''wewe blodmeli nibadilishie kinyago hiki''

ONYO
KAMA NI MUOGA,UNA MAGONJWA KM PRESHA,WASIWASI,NK

MAJINI NA WACHAWI
 
Asante nitajaribu tena kwa mara ya mwisho.
 
uwe unachukua mdoli wako na uwe unaliambia maneno haya huku unalitazama kwenye macho yake kwa siku41 mfululizo utaona maajabu makubwa sana na usije ukashangaa unaihama nyumba kwa hofu. sema maneno haya ''wewe blodmeli nibadilishie kinyago hiki''
 
Unakuwa umesimama au umeketi na uelekeo wako e.g. mashariki,magharibi na muda(saa) ngapi-usiku, asubuhi, machana au magharibi/jioni? Samahani lakini niko serious aisee.
 
Watakuambia ndio maana huna pesa nyingi
emoji16.png
emoji16.png
Nadhani ishu ni kuokota na kuivaa na sio kuokota na kuuza
 
uwe unachukua mdoli wako na uwe unaliambia maneno haya huku unalitazama kwenye macho yake kwa siku41 mfululizo utaona maajabu makubwa sana na usije ukashangaa unaihama nyumba kwa hofu. sema maneno haya ''wewe blodmeli nibadilishie kinyago hiki''
Huyo mdoli akishabadilika kuwa jini faida zake ni zipi?? Naomba kujua kujua Faida zake.
Na je kama atakuwa ni wa kike naweza nikamfanya ni mpenzi wangu au mke?? Nataka niachane kabisa na hivi vidada vya siku hizi, kila siku vinawaza mizinga tu, hawako after love at all.
 
waache wazungu na kansa zao,
bongo wanavaa kama kawa hata iwe inachata ya shetan
 
• Kuna Pete nilipewa na mzee wa sumbawanga,

• Sharti nilipewa isilowane na maji hata kidogo, wala kumpa mtu avae, hata kipindi nakula mbususu nisiivae na kamwe nisiishike kabla sijaoga baada ya kula mbususu.

• Usiku ninavyo lala niivue Kisha niiweke mezani kama kawaida., Aise kuna siku niliamka usiku ili nikaiangalie ile pete nikakuta haipo, niliitafuta sana ule usiku bila mafanikio, nikaamua kwenda kulala huku nikijiuliza wapi nimeweka peti yangu? Asubuhi naamka naikuta pale pale kwenye Meza. Aise ikabidi nimpigie yule mzee, Mzee mbona pete usiku inapotea alafu nikiamka Asubuhi naikuta? Yule mzee Akanijibu hiyo Pete usiku huwa inaenda kupumzika makaburini usiwe na wasiwasi kabisa.

• Nilikaa nayo mda mrefu kidogo, siku nikajisahau baada ya kumpata mtoto mrembo mrefu mithiri ya twiga..... Ebwana ehee si nikajichanganya nikampa aivaee.. Ilimfinya kile kidole 😑, ikabidi nimvue haraka... Safari ya kurudi getho tulipata ajali mbaya sana ikapelekea nikavunjika na mkono.

Tokea siku hiyo ile pete sikuiona tena mpaka mda huu naandika hii sms..😥..
aliye tayari kupelekwa akachukuwe pete akutafute au siyo sema ujaweka namba sasa!
 
• Hapana sihitaji hilo mkuu, kila mtu apite njia zake za utafutaji....

• mganga ninaye mtumia mimi kwa mahitaji yangu, hata ndugu wa damu siwezi kumuonesha...
 
Nataka na mimi niwe mganga wa jadi, nimegundua kuna hela.
 
Back
Top Bottom