• Kuna Pete nilipewa na mzee wa sumbawanga,
• Sharti nilipewa isilowane na maji hata kidogo, wala kumpa mtu avae, hata kipindi nakula mbususu nisiivae na kamwe nisiishike kabla sijaoga baada ya kula mbususu.
• Usiku ninavyo lala niivue Kisha niiweke mezani kama kawaida., Aise kuna siku niliamka usiku ili nikaiangalie ile pete nikakuta haipo, niliitafuta sana ule usiku bila mafanikio, nikaamua kwenda kulala huku nikijiuliza wapi nimeweka peti yangu? Asubuhi naamka naikuta pale pale kwenye Meza. Aise ikabidi nimpigie yule mzee, Mzee mbona pete usiku inapotea alafu nikiamka Asubuhi naikuta? Yule mzee Akanijibu hiyo Pete usiku huwa inaenda kupumzika makaburini usiwe na wasiwasi kabisa.
• Nilikaa nayo mda mrefu kidogo, siku nikajisahau baada ya kumpata mtoto mrembo mrefu mithiri ya twiga..... Ebwana ehee si nikajichanganya nikampa aivaee.. Ilimfinya kile kidole 😑, ikabidi nimvue haraka... Safari ya kurudi getho tulipata ajali mbaya sana ikapelekea nikavunjika na mkono.
Tokea siku hiyo ile pete sikuiona tena mpaka mda huu naandika hii sms..😥..