Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
 
Leo umesimama kama dada au kaka?
 
Ngoja wanakuja kuna sehem walikua wanabishana mambo ya bandari
Nchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.

Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Sasa ameolewa Ili iweje?
Yaani unatoa mahari 3.5-5 million hakupikii, hakufulii nguo, kazi yake ni kutoa hilo tunda la katikati, sasa ana tofauti Gani na kahaba anayejiuza?

Labda kama mahari haipo.
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Baba ako aliwahi kumpikia mama ako?
 
Bas baki kwenu uzeeke Hadi ma....zi yapige kutu
 
Kama maziwa naweza pata dukani kuna haja gani ya kufuga LING'OMBE?
 
Mithali 31:10-16

10. Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?Maana kima chake chapita kima cha marijani.

11. Moyo wa mumewe humwamini,Wala hatakosa kupata mapato.

12. Humtendea mema wala si mabaya,Siku zote za maisha yake.

13. Hutafuta sufu na kitani;Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.

14. Afanana na merikebu za biashara;Huleta chakula chake kutoka mbali.

15. Tena huamka, kabla haujaisha usiku;Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;Na wajakazi wake sehemu zao.

16. Huangalia shamba, akalinunua;Kwa mapato ya mikono yake
 
Back
Top Bottom