Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upungufu wa uboho mwiliniAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Una laana weweWewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Na Ulaya hakuna mahari.Ulaya Hakuna Dumila Wala Kibiti.
Wadanganye na hizo Filipino Filipino sijui Fenadnusi mnazo Angalia. Wataona moto.
Jamii ya mishale huyu mtu🤣🤣🤣kweli umepanga kuharibu ndoa za watu.Anyways,raha ya kuitwa mke au mama ni kumhudumia mume au familia mkuu.
Imeandikwa kwenye biblia, Adam anaambiwa "nitakufanyia (nitakuumbia) msaidizi (siyo mtumwa).Una laana wewe
Ifutwe hata hukuNa Ulaya hakuna mahari.
Niko serious mm @, sexless kungwi la kitaa. Zama zimebadikika nanyi badilikeni.Alaf unakuta wew n mama wa watu unamuhudumia mumeo vizur tu, sema ndo kuchangamshana tu huku JF
Duh, wewe landa hujui nini maana ya msaidizi. Mke ni personal helper wa mumewe. Atamsaidia kwa kila kitu mumewe ili maisha yake yaende smooth. Vile ulivyoona huwezi kuvifanya ndo key activities zinazoleta maana ya usaidizi. Umetaja vifungu vya bibilia, ngoja nikupe maneno kuntu.Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Tafouti ya nyie na wazungu ni kwamba wazungu wanasaidiana Kila kitu Hadi bill Sasa nyie Hadi familia zenu Yani baba na kaka zenu wanasubili tuwaoe ili nao wotoke kimaisha maana wamechoka kusota uswahilini Sasa kwanini msiwe mabeki tatu na mkizubaa hata baba zenu tutawageuza mashamba boiAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
yani we kwel ni sexlessAmkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
50/50Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.
Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.
Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.
Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.
Acheni utumwa.
Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Ni mke wangu Sexless huyu tumezinguana kidogo nashangaa amekuja kuleta nyuzi huku. 😄😄😄😄Nimesoma huu Uzi mbele ya watu wazee adi wameshtuka Sana. #Tunaangamia. Alaf unakuta wew n mama wa watu unamuhudumia mumeo vizur tu, sema ndo kuchangamshana tu huku JF