Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

Hizo kazi ulizotaja sio adhabu bali ndio raha za kuwa mke au ndio ufahari wa kuwa mke Mfano:- mwanamke ambae hajaolewa umri umeenda akisikia mwanamke mwenzie hasa wa umri wake walicheza wote "Leo kachelewa anasema anamfulia nguo mmewe" huyu mwanamke ambae hajaolewa kauli hio lazima impige kisaikolojia na ata wish japo na yeye ampate atakayempa nafasi tu ya kumfulia nguo na kufagia chumba chake moyo utulie.

Hizo ni starehe kwa mwanamke ukiziona adhabu wewe sio mwanamke
 
Yaano msaidizi anasubiri mpaka msaidiwa ashindwe 🤣🤣🤣 Haya sasa na mume akisema na yeye hatoi huduma kwa sababu yeye sio benki wala NGO utasema nini?? Ndoa ni heshima, nidhamu na kujishusha.
 
Imeandikwa kwenye biblia, Adam anaambiwa "nitakufanyia (nitakuumbia) msaidizi (siyo mtumwa).

Maana ya neno msaidizi.
TuKI: mtu atoaye msaada kwa aliyelemewa.
Unapokuwa msaidizi maana yake unapangiwa majukumu na aliyekuteua. Sasa kama mamlaka yako ya uteuzi imekupangia jikoni, baki jikoni. Kama mamlaka yako ya uteuzi imekupangia kwenda kutafta, nenda katafte. Hutaki kataa uteuzi baki kwa wazazi wako
 
Nchi hii wananchi wamelala kiakili kwasabb akina mama wanashinda kutwa wanaosha vyombo jikoni badala ya kuwajengea ujasiri watoto wao, ili baadaye wawe raia jasiri.

Ndiyo maana nawakataza akina mama kufanya kazi za ndani
Napenda nioe Manzi ambaye hana mama mwenye akili kama zako
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Hahahah waongopee wenzio tu 🤣
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Hata kama alikukuta ukiwa barmaid au changudoa, usiache uendelee?
 
Hizo kazi ulizotaja sio adhabu bali ndio raha za kuwa mke au ndio ufahari wa kuwa mke Mfano:- mwanamke ambae hajaolewa umri umeenda akisikia mwanamke mwenzie hasa wa umri wake walicheza wote "Leo kachelewa anasema anamfulia nguo mmewe" huyu mwanamke ambae hajaolewa kauli hio lazima impige kisaikolojia na ata wish japo na yeye ampate atakayempa nafasi tu ya kumfulia nguo na kufagia chumba chake moyo utulie.

Hizo ni starehe kwa mwanamke ukiziona adhabu wewe sio mwanamke
Siyo kwa zama hizi. Kuwa superwoman ndiyo fashion siku hizi. Financial independence kwa wanawake ndiyo ndoto kuu.
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.
Dada yangu mmachame mwenzangu huyu analeta "upalestina wake" kwenye ndoa so anafundisha na wengine. Wadada kuweni makini na hawa "motivational speaker" wa kimachame na kichaga kwa ujumla. Huyu nahisi ni Joyce Karia.
 
Joyce Kiria kwenda mbali zaidi, kasema yeye kazi za ndani (kufua, kupika, kusafisha nyumba) hazipendi na hataki kuzifanya.

Kwahiyo huyu hata hiyo ya kupangiana ratiba kama wazungu hataki.
 
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya.

Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa.

Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo umsaidie.

Asikupangie nn cha kufanya. Ndiyo maana kule Ulaya mume na mke wanapangiana ratiba ya kuzifanya hizo kazi za ndani na mambo mengine.

Acheni utumwa.

Ni ushauri tu kama hutaki acha.

Uzi umepost yamepita zaidi ya masaa 10 huna like hata moja!
Hata wanawake wamemute yaaani!!!
 
Joyce Kiria kwenda mbali zaidi, kasema yeye kazi za ndani (kufua, kupika, kusafisha nyumba) hazipendi na hataki kuzifanya.

Kwahiyo huyu hata hiyo ya kupangiana ratiba kama wazungu hataki.
Ndio maana hajawahi kukaa na mwanaume na analia lia kila mara kuhusu watoto wake kutokuwa na Baba. Hakuna mwanaume chini ya jua atakayefanya hivyo. Hata huyu wa sasa anayeishi naye inaonekana hana akili kwani hakuna mwanaume duniani tena rijali anayechoma(Bleach) nywele. Anawadanganya huyo.
 
Single mama feminist mnatabu kweli kupingana na asili.
Haya ni mawazo ya tukose wote,we Kama ulikosa ndoa tafuta faraja kwenye mengine haya ya ndoa huyawezi.
Wazungu Kila kitu mashine kuajiri dada wa kazi ulaya Sio kila mzungu ana mudu unamlipa kama mwajiriwa wa kawaida plus benefits zake zote ikiwemo pensheni nk.
 
Back
Top Bottom